The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Haji ni mwajiriwa wa Simba so ni lazima atangaze bidhaa za wadhamini wetu kama mo extra, sportpesa na wengine hata kama Hana mkataba. Nenda kwenye page ya bumbuli ukaone anavyopost bidhaa za GSM ingawa Hana mkataba nao lakini ndiyo wadhamini wa club.Kuna makubaliano kuwa Manara atangaze bidhaa za Mwamedi kisa tuu ni mdhamini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ila ni kwa sababu ayo makampun ya mo ndio yaliyomfanya mo aweze kuwa na uwezo wa kuwekeza simba Kwaiyo kuna ukarbu kat ya metl na simba kuliko gsm au azam na simbaKwa hiyo sasa hivi Simba inamilikiwa na Mwamedi na ni sehemu ya Company ya MOETL?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu swali acha kurukaruka,nimekuuliza kwa sasa Simba ni sehemu ya MOETL?Haji ni mwajiriwa wa Simba so lazima atangaze bidhaa za wadhamini wetu kama mo extra, sportpesa na wengine hata kama Hana mkataba. Nenda kwenye page ya bumbuli ukaone anavyopost bidhaa za GSM ingawa Hana mkataba nao lakini ndiyo wadhamini wa club.
Kwa hiyo kukiwa na ukaribu ndio atangaze biashara zao bila makubaliano,na pia aache kufanya kazi zenye maslahi kutoka kwa watu wengine?Hapana ila ni kwa sababu ayo makampun ya mo ndio yaliyomfanya mo aweze kuwa na uwezo wa kuwekeza simba Kwaiyo kuna ukarbu kat ya metl na simba kuliko gsm au azam na simba
Watu hamjajua tu... Simba wana vishiria vya umalaya toka kwenye damu..ukitaka kujua angalia Simba haiwezi kuishi bila yanga..Kwa muda mrefu haji amekuwa akijihusisha na GSM kama one of the brand ambassador na pia amekuwa brand ambassador wa wafadhili wa azam. Tatizo ni kwamba kuwa ambassador huko kwingine kunamnyima yeye nafasi ya kutangaza bidhaa za mtu ambaye amewekeza pesa nyingi pale Simba kwa sababu za kimikataba na hao wengine.
Sasa haiongii akilini, muajiriwa wasimba anashindwa kutangaza bidhaa za mdhamini wa Simba, ila anaenda kutangaza bidhaa za madhamini wa Yanga!!!!
Hivi ishawahi kufikiria Leo Hasan bumbuli awe na mkataba wa kibiashara na Mo dewji kutangaza bidhaa zake na mashabiki wa yanga wamuangalie tu?
Linapokuja swala la mshahara, Simba wanampa laki Saba huku hao wengine wanampa wakimpa zaidi ya million 5 Sasa unafikiri huyo anayempa million 5 akija kumuomba taarifa za huyu anayetoa laki 7 atakataa?? Ni halali viongozi wa Simba kuwa na mashaka na haji manara.
Siyo sehemu ya makampuni ya moetl, lakini ni wadhamini wa Simba na wako kwenye jezi yetu. Na lengo kubwa la wao kutudhamini sisi ni ili TUTANGAZE biashara yao dhidi ya bidhaa zingine zinazofanana na za kwao. Hawana lengo lingine zaidi ya hiloJibu swali acha kurukaruka,nimekuuliza kwa sasa Simba ni sehemu ya MOETL?
Sent using Jamii Forums mobile app
voice note alimtumia barbra...then barbra akaivujisha publicly.Kwa upande wangu regardless na tuhuma za Manara kwa Barbara, Manara njia aliyoitumia amekosea sana. It is very unprofessional kuleta mambo kama yale public halafu unarecord na voice note kabisa, kwa mtu wa caliber kama yake ule ni utoto na uswahili.
voice note alimtumia barbra...then barbra akaivujisha publicly.
Mzee punguza povu, eleza huo mkataba wa jurgen klopp unavyompa mipaka. Ndiyo maana haji mwenyewe amegoma kusaini kandarasi ya milioni 4 kwa mwezi, kwa sababu kandarasi hiyo itampa mipaka. Ndiyo maana yupo hapo Simba na ameridhika na laki 7 lkn anapiga mpuga wa zaidi ya milioni 5 huko kwenye hizo kampuni zingine. Kumbuka haji anapata hizo kandarasi zingine kwa sababu yupo Simba, nje ya simba hawezi kupata! Na Simba hatuhitaji tena kuibeba hii takataka..haji alibaki Simba kwa sababu huruma, lkn siyo kwa umuhimu. Haji ni mlemavu wa ngozi, ukimchukulia hatua bila tahadhari, watu watasema ulemavu wake ndo sababu. Hilo ndo limefanya tubaki naye pamoja na makosa yake. Haji ana barua za kuonywa hata 16 zinafika. Lkn bado anajiona yy ni mkubwa kuliko hata Simba!Wapumbavu humu wengi..
Kocha wa Liverpool ana Mkataba na Adidas
Licha ya Liverpool kuwa na Mkataba na Nike
Kuna mipumbavu humu mingi haijui kazi kuongea utumbo
Sawa Mkuu.Kasikilize vizuri zile voice note mwenyewe alisema atawatumia viongoz kwenye magroup
Watu hamjajua tu... Simba wana vishiria vya umalaya toka kwenye damu..ukitaka kujua angalia Simba haiwezi kuishi bila yanga..
Simba wanaweza kuvaa viatu vya njano au kijani.
Yanga haiwezi kuvaa kitu cha rangi nyekundu kuanzia viatu hata nembo..n.k
Kwahiyo HAJI yuko sawa ...asili inamvutia huko
Huwez mlipa manara 4m halaf umzuie asifanye kaz na kampun zingne...manara ni brand sasa hiv..ukitaka umnunue manara kwa style hyo labda uumpe 10m monthly or more...Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
Manara ndiyo anaviashilia vya umalaya, kwasababu anauwezo wa kuwa pande zote mbili zinazohasimiana. Imagine manara ni Muslim na ni balozi wa baadhi ya mashirika yanayofanya shughuli za kiislam lakini kupitia page yake amekuwa akitangaza mikutano ya mitume wa kikristo na kuwasifia kuwa Wana nguvu za mungu na yesu atawaponya just kwasababu amepewa pesa. Baadaye anausifia uislam na kutangaza shughuli mbali mbali za hayo mashirikisho kama mashindano ya kusoma msaafu na mengineyo. Imagine [emoji847]Watu hamjajua tu... Simba wana vishiria vya umalaya toka kwenye damu..ukitaka kujua angalia Simba haiwezi kuishi bila yanga..
Simba wanaweza kuvaa viatu vya njano au kijani.
Yanga haiwezi kuvaa kitu cha rangi nyekundu kuanzia viatu hata nembo..n.k
Kwahiyo HAJI yuko sawa ...asili inamvutia huko
Tropic ndiyo topic au?πTropic close