Bacyclerbacy
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 1,864
- 3,416
Yah nlipotea kidogo ila kwasasa nipo My sister japo kasi imepungua sio kama zamani saizi kichwa kimejaa makorokoro ukiingia Jf unahakikisha thread umeisoma vizuri amasivyo GUDUBAI😄Nakumbuka alikuwepo huyu mdogo wangu Bacyclerbacy na wengine nimewasahau sijui wako wapi sasa.
Thahabu wetu kabisa wewe
Pisi ya kwenda
Ila wewe.....au basiJuzi Jana na leo bro
Hakuna kuogopana meetings live liveJF white party Kerby Hotel, hii ilikua JF aisee
Kumbe wewe wa 2012 siku zote nafikiri ni hawa Gen ZKwakweli upo sahihi
Wakati naingia ndo nilikuta hiyo gen ya chitchat ya kina lara1
Hahaha, haijafika hata alfu 10?Yule demu alisafiri kutoka mwanza kuja dar kumfata msela,na msela akampa buku saba mia nane🤣🤣🤣🤣🤣,alikuwa anaitwaje yuleee🚶♀️🚶♀️
Kama hadi mama mchungaji Heaven Sent ni pasua kichwa basi sina la kusema 😁
nipo mkuu tushakua millennia sahiv mitandaoni sio sana tu nalea tu sasa
jaman kumbe valley alifariki ndio najua leo … nifute no yake sasa nlikua sijuiKafariki mwaka jana
Eeh,alipewa buku saba😂😂,Hahaha, haijafika hata alfu 10?