IKULU: Rais awataka Msajili na Vyama vya Siasa kutafuta njia bora ya kufanya mikutano ya hadhara nchini

We una chuki Sana Na Samia, Cha kukusaidia ni upigwe sindano ya sumu ufe taratibu
Anaepaswa kupigwa sindano ya sumu ni huyu Rais ambae ametokana na Mapolisi.Ni Rais wa aibu kwa sababu hana kibali cha wananchi.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Mimi ni CHADEMA ila namkubali sana Rais Samia na nitamchagua yeye 2025,
Mimi ni CCM ila simkubali kabisa kwa sasa,Ila nilimpokea kwa shangwe kubwana sana,akibadilika nitabadilika naye, mwaka 2025 tunataka rais Mtanganyika
 
Atumie mbinu za JK ,kung'ata na kupuliza,hao ni njaa tuu wakaipata ruzuku wanatulia,akija Rais mwingine anawaminya hivyo hivyo inakua ni kuwachezea kama watoto.
 
Tanzania hatuna katiba,katiba ni rais
 
Natamani Sana kusikia kuwa rais apeleka mswada wa kuifuta sheria iliyoanzisha vyama vingi vya siasa bungeni January mwakani! Akifanya hivyo ataeleweka Sana na atakuwa amesaidia kuleta utulivu wa kisiasa nchini! Fanya hivyo mh Madame president nitakuunga mkono Kwa asilimia zote zilizopo Duniani!
 

Kila sekunde Polisi wa Tanzania wanavunja sheria za nchi na hawaheshimiwi. Tuanzie hapo kwanza. Huyu mama she must be living in a bubble. Haya mambo ya kuheshimu sheria wakati ni wazi CCM wameinga madarakani kwa kura feki, nani awaheshimu MaCCM? CCM wanafuata Sheria na Katiba? Hii lecture labda angewapa wajukuu zake wa Nursery School. Hizi kauli ni za kijinga kabisa.
 
Huku sasa siyo sawa na bwana Kangi na mikorosho yake?

Hii ni taarifa ya umma ama muhtasari wa hotuba ya mgeni rasmi kwenye mkutano wa kina Zitto na wenzake jana?

Hakuna jipya hapa.
Hata mimi nimeshindwa kuelewa , kwann iitwe taarifa kwa umma
 
KWA MATUSI HAYA KWA RAISI WETU, MIMI NAONA AENDELEE KUWAZUIA MIKUTANO YENU YA HADHARA. KWELI MAMA WAWATU ANAHANGAIKA NAMNA HII KULETA MWAFAKA WA SIASA MUMEANZA MATUSI MAPEMA HII??
 
Huyu anaiingizia nchi dollar, pound na Euro nyingi Kila uchao na hafanani na wewe unayemtegemea shemeji Yako Kwa Kila kitu! Yaani anakuzidi parefu Sana kwenye kuchangia uchumi wa nchi!
Nakuona hapo Kati[emoji23][emoji1787]
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…