City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
π€£π€£π€£π€£ Halafu mtu anasema kwamba Iran hakuna kituMaisha yangu yote sijawahi kuona Tel Aviv ikibondwa na makombora, ila mwaka jana na mwaka huu nimeona!
Sijawahi kushuhudia Wanaisrael wakiishi kama digidigi, ila mwaka jana na mwaka huu nimeona.
Iran siwadai chochote!
Huyu trump hana jipyaπ₯π₯π₯π₯
Trump: Tulitegemea ingechukua wiki kadhaa kuondoa uongozi wa jeshi la Iran, lakini imechukua lisaa limoja tu
πππAcha kujishushia heshima mkuu na kule cyprus nako kaamua kulenga hovyo hovyo? Au akili zako zipo kwenye magari tu mkuu?
Trump hayupo sawa, anapitia msongo wa mawazo.π₯π₯π₯π₯
Trump: Tulitegemea ingechukua wiki kadhaa kuondoa uongozi wa jeshi la Iran, lakini imechukua lisaa limoja tu
Jamaa ana maneno ya kijinga sana.π₯π₯π₯π₯
Trump: Tulitegemea ingechukua wiki kadhaa kuondoa uongozi wa jeshi la Iran, lakini imechukua lisaa limoja tu
Trump anapitia wakati mgumu, hii vita ikisimama hatorudia tena... Iran ikaze.Huyu trump hana jipya
πππ Lazima wataanza Kufikiria upya kuhusu mikataba Yao ya ulinziSuper power wa middle east kaonekana, US alidhani Iran inaogopa jina, US ni simba mzee, meno hana...
Iran inapiga middle east yote tena makambi ya US na ina violate anga za majirani na hakuna kitu wanafanya, na hakuna kitu watafanya..
Kuna haja gani US kuweka makambi ya kijeshi kwenye hizo nchi? nini maana ya kuingia mikataba na hizo nchi kuwapatia ulinzi.
Tazama sasa UAE inapigwa mfululizo, US ni tapeli. Uwezo wa kuwalinda washirika wake hana, baada ya hii ita nadhani nchi za gulf zitaona Trump amewaponza.
Swali la msingi ingekuwa marekani na mwanae wanaruhusu vipi makombora ya Iran kupenya na kuhit targetsAiseee
Ila Iran inakuwaje anaruhusu ndege za wengine ziingie anga lake?
Anapiga mikwara hapa, mtatoboa kweli? Anasema ataiangusha . Kaweka na option ya ground invasion endapo itahitajikaπTrump anapitia wakati mgumu, hii vita ikisimama hatorudia tena... Iran ikaze.
πππView attachment 3550647
Mfano angalia hapo, Hilo ni bunker la mtaa, watu wote wamejifungia humo, missile imepiga situ hakuna tena Jengo Bali ime penetrate mpaka ndani ya Bunker.
Picha za wanaokoa kuna mifuko kibao ya maiti
View attachment 3550649
Ila utaskia Tu kuna majeruhi,
Israel wanajulikana ni tabia Yao kuficha data, uongo kwao ni profession.
π€£π€£Sasa wamemuua Ayatollah sasa nani anatoa amri ya kushambulia huko Iran tena
πππ Jamaa base zao zimepigwa na kuchanwa chanwa hapo mashariki ya kati aibu kubwa sana aisee Iran sio waoga kabisa .Bila Nyuklia hapa US na Israel wanaaibika vibaya. Israel ndio huwa haina kifua kabisa kuvumilia.
Bila us ground forces kuwafuta hawa wanamapinduzi wa kiislam watakuja kukuta wameshaandaa na nuclear yao ya kujibu. Inatakiwa wafutwe fastafasta. Ila kama Iran kafanya haya US hawezi kupigana na Russia wala china
FactSiasa za mashariki ya kati nazielewa kwa sehemu kubwa, na nilishaandika nyuzi humu.
Hivyo usije fikiria una deal na mtu asieelewa nini kinaendelea.
12 Days war aliyeomba cease-fire ni Israel kupitia kwa US.
Iran inaweza kupigwa kweli na ikavumilia, lakini Israel haina uvumilivu huo, mitaa inapigwa na watu wanakufa, hili linapelekea ku pressure serikali isimame vita.
Tujipe muda. Nadhani inabidi utathmini uwezo wako wa kuchanganua mambo si mimi.
Trump si ndiye kaanzisha vita na Israel, si wana hasira sana na wanataka regime change, iweje aanze tena kuonyesha nia ya kuwasikiliza Iran?
Kama Iran imekuwa weak kwanini wasiishambulie kwa nguvu zaidi na kuangusha uongozi wa Iran?
Kwa sababu US na Israel wameona hawaendi kufanikiwa zaidi ya hasara, kuepuka aibu anaanza kuwaandaa watu kisaikolojia kwamba Iran imepigwa hadi inakubali mazungumzo.
Na niliandika humu kama kutabiri Trump atafanya hivyo.
Baada ya viongozi wa Jeshi kuuliwa shambulio lile alikaimu nafasi nyingi za Jeshi kuongoza mashambulizi it make sense kwake kuwa ofisi za Jeshi.Acha ujuha ile ilikuwa shambulio la kushtukiza ndio maana likamkuta hapo mbona ile ya siku 12 zote ziliisha akiwa ardhini