Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Trump: wanapotaka kurusha tu makombora Happ hapo tunawapiga
Iyo ndio ndoto yake na siyeye tu kila mpinga Iran ayo ndio matamanio yake!!!!
Lkn
Iyo ingewezekana kwa Iraq Libya lkn sio kwa Iran, Iran ndio wagunduzi wa mambo mengi tu!!

Trump lazima ujutie!!
wenzio sio wajinga kutokuchokoza Iran kwa kiwango ichi angechutama tu🤫🤫🤫🤫
 
Unaipangia serikali? We andaa mafaili uwe advocate wake
 
City Thunder OKC atakupinga
 
Kuna wachambuzi walipotea baada ya IRGC kujificha naona wamerudi baada ya IRGC kuanza tena kurusha makombora. Kichapo cha US na Israel kwa Iran kiko pale pale,warushe wasirushe missile
 
Waisraeli hawawezi kazi za kilimo?
  • Awe na afya njema
Waisraeli hawana afya njema?
  • Awe tayari kufanya kazi za shambani
Waisraeli hawawezi kufànyà kazi shambani?
  • Awe na pasipoti halali
📩 Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na namna ya kutuma maombi.
Nafasi ni chache – wahi sasa!
Hizo Ni red flag, ukifika huko utaambiwa shika mjegeje kawalipue Wairàni.
 
Hii vita siyo ya kuisha Leo wala kesho ni mwendo wakutumiana vifurushi. Kwa video chache ninazoziona aisee vita siyo kitu kizuri sana.
Vita havifai mkuu! Nashangaa kina Kiti Imma sijui Kitimoto wanahamasisha machafuko halafu wao watukimbie watuache wajukuu zetu wanakufa......Bora tu CCM itawale lakini kuwe na AMANI! Akitoka mama Nchi apewe Abdul ili kuimarisha amani zaidi ya Nchi.
 
Silaha hizi ni harafu na ni kinyume cha sheria
Vita ilipofikia suala la sheria, Sijui zà kimatàifà, Sijui za wapi, Sijui za nini, hilo suala halipo. Kila mtu/nchi itatumia uwezo wake wote, na kila mbinu kumkomoa mwenzake.
Walianza US na Israel kuuà watoto WA Shule Wa Iran. Je, huko Siyo kukiuka Sheria za vità? Watoto wanamakosa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…