Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Israel yatumia parachuti kuwadondoshea chakula maelfu ya askari wake waliozingirwa kusini mwa Gaza

Tena sasa hivi Hamas wanaelekea Tel Aviv kumwondosha Netanyahu [emoji23]
Aisee haya makomandoo ya hamas usipime yaani yanatembeza mkono balaa.Naskia juzi waliizingira nyumba ya Netanyahu.
Mazayuni mwaka huu wanalo
 
Vita ya ground isikie tu.

Usishangae kuona israeli wakashindwa vita hii.
Mie sitashangaa MKUU
Mie nliposikia tu kua israhell wanapeleka boots kwa grounds nikajua kama kaingia kichwa kichwa
Mie nitashangaa ikiwa israhell atashinda hii mbungi ila mie nnachojua na ambacho hakitanishangaza nikushindwa kwa israhell kwa hio mbungi
Nandio utakua mwanzo wa mwisho wao na mwanzo wa mabadiliko mengi hapo Asia magharibi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bwana Utam una mikwara si mchezo. Moderator saidieni huyu ndugu malalamiko yake
Bora uniombee wanaweza wakakuelewa maana nishawalalamikia sana
Ila mpaka sasa naona bila bila maana thread mingi hapa ndani nitachangia zikifika page kadhaa basi inakua zinagoma kufunguka
 
Eneo dogo? Hilo sio shamba utamaliza mara Moja.
Magaidi 20,000 wajifiche ukerewe na tutume jwtz 100,000 kwa mwezi tu kutakuwa bado kuna magaidi ndugu. Yaani tuwape ndege, vifaru wajichagulie vingine toka nje ya nchi kila bunduki waipendayo wachukue bado wazidishe mwezi? Hao wote tunawafuta kama wanajeshi tunapeleka wengine!!
 
Huko kili nikitaka kuingia inagoma jf imekua ya hovyo sana
Thread chungu nzima nikifungua zinagoma hata ile nnayosikia kua umeikimbia ya PUT IN na ZELENSKY nayo pia yagoma
Wazayuni wameona nawapiga spana wameona wanitilie figisu
Hata mimi nyuzi nyingi hazifunguki, sijui shida ni nini.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mie sitashangaa MKUU
Mie nliposikia tu kua israhell wanapeleka boots kwa grounds nikajua kama kaingia kichwa kichwa
Mie nitashangaa ikiwa israhell atashinda hii mbungi ila mie nnachojua na ambacho hakitanishangaza nikushindwa kwa israhell kwa hio mbungi
Nandio utakua mwanzo wa mwisho wao na mwanzo wa mabadiliko mengi hapo Asia magharibi
Hii vita ina wiki tatu mpaka 4 zinebakia, Hamas bye bye.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza.

Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia ya kawaida ya barabara.

Majaribio ya matumizi ya malori na barabara yamekuwa magumu kwanzia kutokana na miundo mbinu yote kubomolewa na wao wenyewe na pia kutokana na kushambuliwa na kuchukuliwa mahitaji hayo kwa matumizi ya Hamas.

Njaa na ukosefu wa maji inatarajiwa itakuwa ni msaada mkubwa kwa Hamas kuwamaliza askari wa IDF hata bila matumizi makubwa ya nguvu.

Guided Parachute System Used By Israel For First Time In Gaza​

View attachment 2840234
Unashangaa nini? Wewe unadhani Parachut limetengemezwa kwa ajili ya nini?

Kobaz bana
 
Pana thread unasoma unaishia kucheka tu.Cha kushangaza zaidi unakuta watu wanaamini na kuchangia kwa furaha kabisa kuwa IDF wameshindwa bila kuhoji hiki ulichoki note Mkuu.Ngoja tuwasindikize katika furaha yao lakini tukiangalia hata kwa Al Jazeera ambao ni Pro Hamas unakuta mambo ni magumu sana kwa wakazi wa Gaza na Hamas kwa ujumla.
Nani kqkwqmbia Al Jazeera ni pro Hamas ????
 
Huko kili nikitaka kuingia inagoma jf imekua ya hovyo sana
Thread chungu nzima nikifungua zinagoma hata ile nnayosikia kua umeikimbia ya PUT IN na ZELENSKY nayo pia yagoma
Wazayuni wameona nawapiga spana wameona wanitilie figisu

Wewe ingia kabla haijaunganishwa.....
Mrusi ambaye alikua tegemezi la maustadhi amedhindwa.
 
Ukisoma comments za pro Hamas kisha ukasoma na utitiri wa Threads za muanziasha mada utapata picha kamili kuwa hawa wamechanganyikiwa na hii vita.Sina uhakika kama wanapata hata muda wa kunywa maji.
Watu wanakufa kama nzige huko Gaza wao wapo hapa kupigana vita na kujipa matumaini/ ushindi kwa comments
Tofautisha kupigina vita na kufanya mauaji ya kilholela.
Kama kuuwa raia kiholela ndo kunaleta ushindi vitani basi Israel ilitakiwa iwe imesha ishinda Hamas.
 
Aisee haya makomandoo ya hamas usipime yaani yanatembeza mkono balaa.Naskia juzi waliizingira nyumba ya Netanyahu.
Mazayuni mwaka huu wanalo
Ni watu hatari zaidi Duniani,wakimalizana na Israel wanawafuata Marekani huko huko kwao.Dunia inakwenda kushuhudia ujasiri wa ajabu wa Hamas ndiyo maana wakaazi wa Gaza wako wanakula bata hawana wasi wasi kwakuwa wanalindwa na Hamas.
 
Bora uniombee wanaweza wakakuelewa maana nishawalalamikia sana
Ila mpaka sasa naona bila bila maana thread mingi hapa ndani nitachangia zikifika page kadhaa basi inakua zinagoma kufunguka
Utakuwa unakutana na ile hali ya kukulazimisha uifungue Thread kutumia browser ya kawaida.Ukifungua page zikagoma click uende page ya mwisho ya hiyo Thread itakuelekeza uifungue kwa browser unafungua unaendelea kuchangia na kusoma comments kama kawaida
 
Yaani watumie ndege kudondosha chakula washindwe kuwafumua magaidi wa Hamas kwa hizo ndege,!! Hamas imekwisha pamoja na kujificha kwa kuvaa Burqa, Niqab na kujificha hospitali mashuleni wamekwisha, damu ya watanzania wasio na hatia waliowateka na kuwaua itawamaliza.
Mkuu achana na kitu kinaitwa IMANI.

Ni ugonjwa huwezi hata fikiri sahihi, angalia Aljazeera, France24

Watu wanateseka mno, niliuliza wale mateka waliobadilishana wamewaweka wapi kwa hali ilvyo pale gaza? Kuliko na point gani ya kufanya vile na bado kuna raia umeshindwa kuwalinda unakimbia kujificha?

Mimi huwa naumia kuona watu wanavyoteseka tu.
 
Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza.

Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia ya kawaida ya barabara.

Majaribio ya matumizi ya malori na barabara yamekuwa magumu kwanzia kutokana na miundo mbinu yote kubomolewa na wao wenyewe na pia kutokana na kushambuliwa na kuchukuliwa mahitaji hayo kwa matumizi ya Hamas.

Njaa na ukosefu wa maji inatarajiwa itakuwa ni msaada mkubwa kwa Hamas kuwamaliza askari wa IDF hata bila matumizi makubwa ya nguvu.

Guided Parachute System Used By Israel For First Time In Gaza​

View attachment 2840234
Hiyo habari ni nzito sana, mazayuni wameanza kuomba poo wao wenyewe, sasa wanaiomba Egypt na Qatar ziongee na Hamas wasimamishe mapigano:

IMG-20231212-WA0058.jpg

.
 
Back
Top Bottom