The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Kajifundishe kuandika kwanza kisha njoo tena.Nikikujibu nitafanana na wewe.Houri wanakaribia kumalizwa huko Firdaus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajifundishe kuandika kwanza kisha njoo tena.Nikikujibu nitafanana na wewe.Houri wanakaribia kumalizwa huko Firdaus
Aisee haya makomandoo ya hamas usipime yaani yanatembeza mkono balaa.Naskia juzi waliizingira nyumba ya Netanyahu.Tena sasa hivi Hamas wanaelekea Tel Aviv kumwondosha Netanyahu [emoji23]
Hasira za nini mkuu.Body language yako inaonesha Gaza amkani si shwari tena!Kajifundishe kuandika kwanza kisha njoo tena.
Mie sitashangaa MKUUVita ya ground isikie tu.
Usishangae kuona israeli wakashindwa vita hii.
Subutu mbona wangeolewa kabisaNajiuliza Kama Hamasi Apewe Zana Zakivita Zakutosha Pesa Hawa Mbwa watatoboa kweli !!
Bora uniombee wanaweza wakakuelewa maana nishawalalamikia sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bwana Utam una mikwara si mchezo. Moderator saidieni huyu ndugu malalamiko yake
Magaidi 20,000 wajifiche ukerewe na tutume jwtz 100,000 kwa mwezi tu kutakuwa bado kuna magaidi ndugu. Yaani tuwape ndege, vifaru wajichagulie vingine toka nje ya nchi kila bunduki waipendayo wachukue bado wazidishe mwezi? Hao wote tunawafuta kama wanajeshi tunapeleka wengine!!Eneo dogo? Hilo sio shamba utamaliza mara Moja.
Hata mimi nyuzi nyingi hazifunguki, sijui shida ni nini.Huko kili nikitaka kuingia inagoma jf imekua ya hovyo sana
Thread chungu nzima nikifungua zinagoma hata ile nnayosikia kua umeikimbia ya PUT IN na ZELENSKY nayo pia yagoma
Wazayuni wameona nawapiga spana wameona wanitilie figisu
Hii vita ina wiki tatu mpaka 4 zinebakia, Hamas bye bye.Mie sitashangaa MKUU
Mie nliposikia tu kua israhell wanapeleka boots kwa grounds nikajua kama kaingia kichwa kichwa
Mie nitashangaa ikiwa israhell atashinda hii mbungi ila mie nnachojua na ambacho hakitanishangaza nikushindwa kwa israhell kwa hio mbungi
Nandio utakua mwanzo wa mwisho wao na mwanzo wa mabadiliko mengi hapo Asia magharibi
Unashangaa nini? Wewe unadhani Parachut limetengemezwa kwa ajili ya nini?Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza.
Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia ya kawaida ya barabara.
Majaribio ya matumizi ya malori na barabara yamekuwa magumu kwanzia kutokana na miundo mbinu yote kubomolewa na wao wenyewe na pia kutokana na kushambuliwa na kuchukuliwa mahitaji hayo kwa matumizi ya Hamas.
Njaa na ukosefu wa maji inatarajiwa itakuwa ni msaada mkubwa kwa Hamas kuwamaliza askari wa IDF hata bila matumizi makubwa ya nguvu.
Guided Parachute System Used By Israel For First Time In Gaza
View attachment 2840234
Nani kqkwqmbia Al Jazeera ni pro Hamas ????Pana thread unasoma unaishia kucheka tu.Cha kushangaza zaidi unakuta watu wanaamini na kuchangia kwa furaha kabisa kuwa IDF wameshindwa bila kuhoji hiki ulichoki note Mkuu.Ngoja tuwasindikize katika furaha yao lakini tukiangalia hata kwa Al Jazeera ambao ni Pro Hamas unakuta mambo ni magumu sana kwa wakazi wa Gaza na Hamas kwa ujumla.
Huko kili nikitaka kuingia inagoma jf imekua ya hovyo sana
Thread chungu nzima nikifungua zinagoma hata ile nnayosikia kua umeikimbia ya PUT IN na ZELENSKY nayo pia yagoma
Wazayuni wameona nawapiga spana wameona wanitilie figisu
Siwezi kujadili jambo na mtu asiyejua hata kuandika.Hasira za nini mkuu.Body language yako inaonesha Gaza amkani si shwari tena!
Tofautisha kupigina vita na kufanya mauaji ya kilholela.Ukisoma comments za pro Hamas kisha ukasoma na utitiri wa Threads za muanziasha mada utapata picha kamili kuwa hawa wamechanganyikiwa na hii vita.Sina uhakika kama wanapata hata muda wa kunywa maji.
Watu wanakufa kama nzige huko Gaza wao wapo hapa kupigana vita na kujipa matumaini/ ushindi kwa comments
Ulitaka wakimbie kama ww ulivyo ukimbiaga uzi wa vita ya Ukraine na Urusi baada ya mzee Putin kuwapelekea moto?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].Jamaa ana sifa zote za kwenda kufanya kazi ICU kuwatia moyo wale walio katika dakika za mwisho za uhai wao wa kuishi hapa Duniani [emoji23][emoji23]
Ni watu hatari zaidi Duniani,wakimalizana na Israel wanawafuata Marekani huko huko kwao.Dunia inakwenda kushuhudia ujasiri wa ajabu wa Hamas ndiyo maana wakaazi wa Gaza wako wanakula bata hawana wasi wasi kwakuwa wanalindwa na Hamas.Aisee haya makomandoo ya hamas usipime yaani yanatembeza mkono balaa.Naskia juzi waliizingira nyumba ya Netanyahu.
Mazayuni mwaka huu wanalo
Utakuwa unakutana na ile hali ya kukulazimisha uifungue Thread kutumia browser ya kawaida.Ukifungua page zikagoma click uende page ya mwisho ya hiyo Thread itakuelekeza uifungue kwa browser unafungua unaendelea kuchangia na kusoma comments kama kawaidaBora uniombee wanaweza wakakuelewa maana nishawalalamikia sana
Ila mpaka sasa naona bila bila maana thread mingi hapa ndani nitachangia zikifika page kadhaa basi inakua zinagoma kufunguka
Mimi mwenyewe ninaona walivyo biased kwenye utoaji wa taarifa zao.Nani kqkwqmbia Al Jazeera ni pro Hamas ????
Mkuu achana na kitu kinaitwa IMANI.Yaani watumie ndege kudondosha chakula washindwe kuwafumua magaidi wa Hamas kwa hizo ndege,!! Hamas imekwisha pamoja na kujificha kwa kuvaa Burqa, Niqab na kujificha hospitali mashuleni wamekwisha, damu ya watanzania wasio na hatia waliowateka na kuwaua itawamaliza.
Hiyo habari ni nzito sana, mazayuni wameanza kuomba poo wao wenyewe, sasa wanaiomba Egypt na Qatar ziongee na Hamas wasimamishe mapigano:Kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limelazimika kutumia parachuti maalum ili kuwafikishia mahitaji muhimu maelfu ya askari wake wanaokaribia kufa kusini ya Gaza.
Maamuzi hayo yamkuja wakati vita vya mitaani vinaonekana kuwamaliza nguvu askari hao na kushindikana kuwafikishia mahitaji hayo kwa njia ya kawaida ya barabara.
Majaribio ya matumizi ya malori na barabara yamekuwa magumu kwanzia kutokana na miundo mbinu yote kubomolewa na wao wenyewe na pia kutokana na kushambuliwa na kuchukuliwa mahitaji hayo kwa matumizi ya Hamas.
Njaa na ukosefu wa maji inatarajiwa itakuwa ni msaada mkubwa kwa Hamas kuwamaliza askari wa IDF hata bila matumizi makubwa ya nguvu.
Guided Parachute System Used By Israel For First Time In Gaza
View attachment 2840234