Ndo akili za wasomi wetu Hizo, hawatatui matatizo ila wanaibua matatizo mapya kureplace yaliyokwepo
 
Kama kweli nyie Ccm mnao mtetea huyo Diamond mna uwezo, kwanini msimpigie kura ashinde?
Mbona mna walalamikia wana harakati? Nyie ni wengi mpigieni kura ashinde muonyeshe nguvu yenu.
Andikeni barua nanyi huko BET kuonyesha kwamba huyu mhuni alie mkana baba yake ana singiziwa. Achaneni na wana harakati. Period!!!!
 
Kila mtu anao uhuru mkuu ila si vibaya kuhoji, maana wapinzani wametulea katika mazingira ya kuhoji ndo mana namimi nimehoji.

Ni vyema sasa Nikapata majibu
Majibu ndio hayo, wanatumia uhuru wao kushawishi watu wasimpigie kura msanii fulani kwa sababu wanaamini alitumia sanaa yake kushawishi watu wamchague kiongozi wanaamini alikuwa hafai.

Kwa ufupi, kila mtu atumie uhuru wake vile anavyoona inafaa, bila kuvunja sheria.

Diamond alitumia uhuru wake kuzunguka kumnadi Magufuli ambayo ni sawa kabisa na kumpinga Lissu.

Leo wanaharakati wanatumia uhuru wao kumpinga Diamond.

Kila mtu ashinde mechi zake.
 
Bora hata umemsaidia huyu kijana, mana alikuwa hajui alitendalo
 
Mimi sio ccm mkuu, ni shabiki tu na mdau wa hii biashara ya muziki.

Na hapa hatuzungumzii wingi au udogo, hapa tunazungumzi ni kwa kiasi gani diamond anakwamisha siasa zao hadi wamfanyie hivi
 
Kwani wewe unaona kutetea haki ya wwliodhulumiwa ni vibaya?

Kwa nini mhusika yuko kimya au asiombe radhi? Kila mtu ashindwe mechi zake
Nani kadhulumiwa mkuu, na kadhulumiwa nini na nani? Aombe radhi kwa kosa lipi?

Mbona mama huyu hapa saivi tunamshangilia mbona hatuhoji kuwa akati mambo mabaya yanatokea alikuwa kimya?

Watu Weusi sometimes hatujui tunachokihitaji ni kipi na kwanini
 
Daaaah... Kwa kweli nmeshangazwa Sana. Kumbe kosa la Diamond Ni kushiriki kampen za ccm au kuwa mwanaccm!!!!
Mbona hizi Ni siasa za kishamba Sana hata kule Pemba wameziacha.. utakumbuka Pemba waligawana misikiti, maduka misiba na harusi, waliacha kuoleana na kusuhubiana kwa mnasaba wa itikadi za kidini kwamba CCM akifa au kufiwa basi akazikwe na wanaccm wenzie , akasali kwa wanaccm wenzie. Kifupi huu Ni ujinga kabisa kuliko hata upumbavu wenyewe. Tena inakuwa ujinga zaidi Kama kampeni hizi zinafanywa watu wanaopigania Uhuru wa kujieleza na kujiamulia Mambo yako ,demokrasia na usawa.
Hivi umewahi kujiuliza Kama shughuli unazofanya zikiamuliwa na itikadi ya kivyama utabaki salama!?
Kama wewe Ni muajiriwa basi bosi wako akiwa CCM akutoe atafute wakufanana nae, ukiwa na duka lako waje wanamageuzi tu CCM wasifike, familia yako mjigawe kwa misingi hiyo nduguzo wawe CDM tu aliyeko CCM apite kule ....itakuwaje!?

Hivi wewe unajitambua kweli!?
Mwenzio katumia Sanaa yake kutafuta tonge, katumia Uhuru wake kuchagua CCM, katumia uwezo wake kukampenia ccm. Ingekuwa ndio wewe wanaccm nao waamue kukuadhibu kwa kuipigania chadema ungejisikiaje fala were!??
 
Asante
 
Mimi sio ccm mkuu, ni shabiki tu na mdau wa hii biashara ya muziki.

Na hapa hatuzungumzii wingi au udogo, hapa tunazungumzi ni kwa kiasi gani diamond anakwamisha siasa zao hadi wamfanyie hivi
Kwamba hujui ni vipi Diamond ana kwamisha siasa zao? Nenda mitandaoni muone kama ana washabiki tena redioni au kwenye sherehe
 
Tusiwe na shaka. Serikali ya JPM itampitisha diamond kubeba hiyo tuzo
 
Kwa nini next stop isiwe kwa Roma?
 
Mondi anapoandamwa kiasi hiki msingi wake Ni kukubali kwamba CCM walishinda kiukweli na kwamba moja ya sababu Ni WASANII kusaidia kampeni akiwemo Sadala.

Kwa sababu Kama chama kinaamini hakikushindwa KIHALALI maana yake mchango wa Domo Ni mdogo Sana au haupo...Negligible...!!
Kama kinaamini na kukiri kushindwa ndipo watafanya tathmini kivip na kwa nini na hatimae wanabaini kumbe kulikuwa na mchango wa WASANII pia, hapo Sasa ndipo angeangaliwa Mondi

Naomba Sasa tuulizane CCM walishinda KIHALALI mpaka tusumbuke na mchango wa mtu Kama Diamond!?
Na je mchango wa Domo ulichangia kwa % ngapi.


Kama hoja Ni ku side na oppressors je Ni Mondi pekee!??
Samia je!?
Kikwete je.!?
Warioba je?
WASANII wengine je!?
Matajiri wakubwa je!?
Ndugu zetu!?
marafiki zetu je!?
majirani zetu je!?

Watanzania toka tumeacha kufikiri tumebaki na majungu na unafiki tu.
Let's think big..
 

Kampigie ww kura hakuna aliyekukataza. Viongozi wapi unataka waongelee hilo jambo, kwani kuna mtu yoyote kaletwa na kiongozi huku mitandaoni? Kama ww umeletwa na kiongozi endelea kusimamia alichokutuma. Humu ndani mitandaoni watu wanampinga Diamond kwakuwa alisimama upande wa utawala dhalimu. Kwa kuwa yule kiongozi dhalimu alisema alishinda uchaguzi, shawishini hao waliompa kura kiongozi dhalimu wampigie kura Diamond.
 
kwahiyo sasa unadhani akikosa 2025 ataisaport chadema[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

tusichoke kufikiri.
Cdm wana watu kibao, hawahitaji support yoyote ya diamond. Halafu hili suala halina mahusiano na cdm, bali wapenda haki hawako tayari kumsupport mtu yoyote aliyekuwa upande wa kiongozi dhalimu.
 
Cdm wana watu kibao, hawahitaji support yoyote ya diamond. Halafu hili suala halina mahusiano na cdm, bali wapenda haki hawako tayari kumsupport mtu yoyote aliyekuwa upande wa kiongozi dhalimu.
Mnahubiri uhuru hamuutaki watu wauishi.

Kama chadema haihusiani na harakati hizo za kupuuzi iko wapi kukanusha/kukemea??
Kaongea makamu mwenyeki, na leo lema pia kaandika, chama kinaendelelea na kampeni ya kuchangisha hela wafuasi ndama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…