Mr. ulichosema ni kweli niko kwenye group moja la United Pan africanism(UPAM), ambalo limeundwa na waafrica waishio mabara mengine na wana wawakilishi karibia nchi zote za Africa. Mara zote wamekuwa wakimtazama Magufuli kama Rais wa mfano, kwa mawazo yangu nadhani ule msimamo wa JPM kuhusu whites na vile alivyohandle issue ya kolona, ilifanya azungumzwe sana kwenye vyombo vya nje hadi sehemu nyingine wakachora mabango wakisema mbuzi na papai la Magufuli vimekutwa na Korona. Pia kwenye website yao wameweka course za kiswahili ikiwa ni maandalizi ya baadae kutumia lugha hii kama lugha ya kwanza ya kiafrica katika mikutano yao. Hivyo hakuna anayeamini kuwa Magufuli alikuwa dictator. Jambo jingine lililosababisha ni vyombo vya habari, vyombo vya habari vilivyokuwa vinatoa habari za kukosoa vilifungiwa vikabaki vile ambavyo vilikuwa vinatangaza habari za serikali na maendeleo yake na habari za kupika za uchumi kupaa and the like.
 
Another shit,et Africa ilimpenda nireteeni gwajima!
Africa ya wapi?hashindi tunampigia B boy.Huyo mwehu mlamba midomo alikuwa sehemu ya mashetani yaliyokuwa yanaumiza watanzania
 
Maria Sarungi ni kigagula tu huyo. Ana uharakati wa kilozi tu. Anashindwa mambo ya familia take eti anapambana na Diamond? Atamuweza wapi? Pumbavu!

Diamond atashindwa kama mpambanaji na atashinda kama mshindani na sio nguvu yoyote kutoka kwa wajinga kama akina Maria Sarungi!
 
in-depth!
 
nope nope nope . kwa issue kama hiyo unahitaji sample space zaidi ya 300.
unafanyia mahojiano 15 peoples halaf una conclude ni africa nzima?

ulisoma chuo gani ww?
be serious man
Yuko sahihi kwa asilimia nyingi, hata mimi hitimisho langu kutokana na majadiliano na watu wengi nje ya nchi yetu wengi wanaamini dikteta mwendazake alikuwa kiongozi safi na mfano wa kuigwa kwa viongozi wengine barani Afrika.
Nilikuwa nikijaribu sana kuwaelimisha kinachoendelea lakini nadhani alifanikiwa sana katika kuhadaa watu wengi(mataifa mengi) na hata raia(blacks) wa nchi za Ulaya na Amerika ya Kaskazini wanaofuatilia siasa za Afrika walimuona kama shujaa dikteta mwendazake.
 
no ww ndio hujui hata qualitative research inakupa result za aina gani.
kwenye issue kama hii unatumia quantitative research kupata actual data kutokana na idadi ya watu unao hoji.
Absolutely right mkuu!
Mathalani kama kahoji mtu mmoja mmoja kutoka nchi 15, data zimetosha?? 😂 Waliokula maganda wakabugi wapo!

Everyday is Saturday...............................😎
 
Waneharibu kampeni yao baada ya kutaja haki za mashoga
 
Kwa hizi shutuma zinazoelekezwa kwa Diamond na kutaka asishirikishwe kwenye tuzo, ni nani aliwahi kuthibitisha hadharani tuhuma za wanaotajwa?.

Hivi kuna chombo gani chenye mamlaka kiliendesha uchunguzi na kutoa hukumu ambazo Diamond alizipuuza?

Hivi hatuoni kelele tunazopiga ni kujionesha tu kama Wapuuzi mbele ya macho ya kimataifa?

Bila shaka Wahusika watawapuuza Wapuuzi wote wanaokurupuka tu na kutafuta kusikika kupitia mgongo wa Msanii Diamond.
 
Maria, chadema na kigogo ni fungu la kukosa!

Diamond sasa hivi ni mkubwa kuliko chadema mana wanapambana nae kuliko walivyopambana na ccm
Hivi mnasubiri nini kuhamia kwenye Kaburi kule Chato?
 
Vipi hawa "Wapuuzi" wasipo puuzwa Mondi amejipangaje kwa mengine yajayo?
Kibinadamu kuwa na mbadala ni muhimu.
Mshaurini na hilo pia
 
Jiulize swali hao wanaomtuhumu diamond wakati wa matukio wengi wao walikimbia nchi, wengi wao wanatumia tu accounts za mitandao kwa majina fake ila wanataka diamond abebe bango barabarani, mange kimambi aliwai kuitisha maandamano hakuna hata kunguni mmoja aliyetoka ndani kazi kupiga kelele kwenye mitandao
 
You are very right in both on the Diamond issue and the content on Magufuli, unfortunately you have to learn about the major demographics of the audience, such as general age, gender, education, religion, and culture, as well as to what groups the audience members belong.

Additionally, learning about the values, attitudes, and beliefs of the members of your audience.
 
Hii ndiyo shida ya kumtetea mwenda zake utatokwa na hadi mishipa poomb ni vema uakijpumzikia na kuanza kuleta refference kutoka kusiko julikana ili kujitetea hivi kweli una conclude kuwa bara zima la africa lenye wakaazi zaidi ya 1.2 bilion kawa kuhoji watu 15? hata kama ungesomea Lumumba huko Russia ningekugomea
 
nature ya shuguli zangu zinanipa nafasi ya kutembea sana katika nchi nyingi za Africa, ulicho andika sio kweli.

Nilipata taabu sana kuwaelewesha viongozi wa Wizara ya Fedha wa South Sudan kuhusu Magufuli na Wakaniambia tuletee Mtanzania hapa mzuri tumkabidhi South Sudan Revenue Authority na nilopo mpendekeza walimuajiri kama Commissioner Mkuu.

Sijui baada ya kufa lakini Mtanzania wakati wa Magufuli waliaminika ni watu mwaminifu na wazuri kiutendaji.
 
Nikushauri

Hapa humsaidii msanii wako ndio unamaliza kabisa.

Debate za aina hii zinawafunguwa watu kutambua mengi yaliyojificha nyuma ya pazia

Hivi vithread ndio mnamzika kabisaa
Wewe Mungu?!
 
Very
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…