Kwani nawe ni mtumishi wake,ama vinginevyo sii kwa upofu huo, kwani huwa apendae hata chongo huita kengeza.
 
πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ‘πŸ½
 
Kwanza thibitisha madai yako kwamba hiyo ni move ya Chadema

Tena weka ushahidi

Tutajadili mengine yote, ila tuthibitishie Chadema unawahusishaje na kwa ushahidi gani
Walioanzisha kampeni mitandaoni ni wanaharakati wa cdm hili unalijua vizuri sana.

Sababu yao kubwa ni kuwa Diamond alishiriki mambo kadhaa ikiwemo kampeni kwa ccm
 
Kwani nawe ni mtumishi wake,ama vinginevyo sii kwa upofu huo, kwani huwa apendae hata chongo huita kengeza.

Sawa mkuu, basi tueleze Diamond anawakwamisha wapi kwenye harakati zenu
 
Walioanzisha kampeni mitandaoni ni wanaharakati wa cdm hili unalijua vizuri sana.

Sababu yao kubwa ni kuwa Diamond alishiriki mambo kadhaa ikiwemo kampeni kwa ccm
Kwani wewe ni mtumishi wa anayetuhumiwa ama ama wa kijani.
 
Sawa mkuu, basi tueleze Diamond anawakwamisha wapi kwenye harakati zenu
Unapo simama na upande usio wa haki una poteza yote kutoka kwa wapenda haki na ustawi wa taifa.
 
Reactions: BAK
Elewa dada, hawatakiwi kujihusisha na siasa ili wasiwavuruge fans wao wenye itikadi tofauti.
π™Έπš”πš˜ πšœπš’πš”πšž πš–πšπšŠπš”πšžπš“πšŠ πš”πšžπš—πšžπš—πšŠ πš”πš’πšœπšŠ πš‘πšŠπš“πšŠπš–πšžπš˜πšŠ πš–πš πšŠπš—πšŠπšŒπš‘πšŠπšπšŽπš–πšŠ
 
Walioanzisha kampeni mitandaoni ni wanaharakati wa cdm hili unalijua vizuri sana.

Sababu yao kubwa ni kuwa Diamond alishiriki mambo kadhaa ikiwemo kampeni kwa ccm

Chama cha siasa kinaongozwa na wanaharakati?

Hebu weka kifungu cha katiba ya Chadema kuthibitisha huu ujinga wako
 
Kimsingi ni kwamba petition ya kumkataa Diamond imefanikiwa kwani hadi sasa wamesaini zaidi ya watu 12,000 na mimi nikiwa mmoja wao.

Hii thread yako ni dalili ya mafanikio la sivyo ungeipuuza, hivyo well done mitandao.

By the way, mimi siyo mwanaharakati au mwanasiasa.

Unapo simama na upande usio wa haki una poteza yote kutoka kwa wapenda haki na ustawi wa taifa.
Okay, umetumia vigezo gani kubaini Upande aliosupport yeye ulikuwa si wa haki.

Lakini si yeye tu alieshiriki,
Mbona sijaona kampeni ya kuzuia watu wasiende kwenye show za wasanii walioshiriki kampeni za ccm? Kama analengwa yeye tu na wengine Wanaachwa hii tutaitofautishaje na wivu.
 
Kila mtu ashinde mechi zake halafu tuone mwisho itakuwaje
 
Wewe umefanya kwa sababu zipi mkuu, ili tukuondoe pia kwenye group la wafata mkumbo, maana umeshasema si mwanasiasa na si mwanaharakati.
 
π™Ίπš πšŠπš—πš’ πš”πš πšŽπš’πšŽ πšœπš‘πšŽπš›πš’πšŠ 𝚣𝚎𝚝𝚞 πš£πš’πš—πšŠπš”πšŠπšπšŠπš£πšŠ πšœπšŠπš—πš’πš’ πš”πšžπš πšŠ πš–πš πšŠπš—πšŠπšŒπš‘πšŠπš–πšŠ 𝚊𝚞 πš”πšžπšœπš‘πšŠπš‹πš’πš”πš’πšŠ πšŒπš‘πšŠπš–πšŠ? π™·πš’πš’πš˜ πš—πš’ πš‘πšŠπš”πš’ πš’πšŠπš”πšŽ πš”πšŠπš–πšŠ πš’πš•πš’πšŸπš’πš˜ 𝚠𝚠 πš‘πšŠπš”πš’ πš’πšŠπš”πš˜.
 
Naona unachanganya biashara na haki. Yule ni mfanyabiashara, na mfanyabiashara yeyote anafata masirahi. Weka hii akilini
Naam, na maslahi akayapata kwa kuridhia kupoteza wateja wake wenye itikadi tofauti na mteja anayempa faida kubwa. Wala haina shida, maadamu faida aliipata.
 
Walioanzisha kampeni mitandaoni ni wanaharakati wa cdm hili unalijua vizuri sana.
Sababu yao kubwa ni kuwa Diamond alishiriki mambo kadhaa ikiwemo kampeni kwa ccm
Kumbe wewe ni mpumbavu kiasi hiki. Wanaharakati ni watu wanaodai uhuru, haki na usawa na utawala unaoheshimu, kulinda na kuitetea Katiba.

Kama huyo msanii wako akachagua upande wa watekaji, watesaji na wauwaji wa Watanzania wenye misimamo tofauti kisiasa huo ni uamuzi wake.

Watanzania walipotekwa alikuwa kimya, walipoteswa alikuwa kimya, walipopotezwa hakupaza sauti...hii ina maana kuwa aliwaunga mkono wahusika.

Halafu leo anawataka hao hao waliopitia machungu huku yeye akiwa kimya wamuunge mkono katika kutafuta umaarufu kupitia mgongo wao, ili iweje?

Hiyo tuzo itawarudishia uhai wapendwa wao? Hiyo tuzo itawaponyesha vilema wa maungo? Hiyo tuzo itawafuta machozi wazazi, ndugu na marafiki wa waliopotezwa?

Acheni ujinga, huyo na usanii wake tupa kule...kama mnampenda mkanywe naye chai huko kuzimu aliko huyo dhalimu anayemvisha kofia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…