RAFIKI WA ADUI YAKO NI ADUI YAKO DIAMOND ALIKUWA RAFIKI WA JPM NA JPM ALIKUWA NI ADUI NA MTESI WA WATANZANIA .
 
RAFIKI WA ADUI YAKO NI ADUI YAKO DIAMOND ALIKUWA RAFIKI WA JPM NA JPM ALIKUWA NI ADUI NA MTESI WA WATANZANIA .
Sema alikuwa adui yako, wapo aliowatendea mema wengi tu ukitoa maharamia wachache waliopata stahiki zao kwa umafia waliokuwa wanaufanya uko nyuma kwenye tawala legelege
 
Wrong thinking
 
Historia inaonyesha kwamba wasanii wanaojielewa husimama na wananchi kipindi cha mateso na huwa sauti ya wananchi na pia hukubali kuteseka pamoja nao. Ukiona msanii anasimama upande wa watawala wanaovunja katiba wazi wazi,wanaminya uhuru wa kujieleza, wanabana vyombo vya habari na kuzuia demokrasia hao hawafai duniani na hata mbinguni.
 
Diamond na management yake walijua fika siasa za fitina,ubabe na kibaguzi za Mwendazake, ajifunze kitu kwa wasanii nguli kina Bob Male na Luck Dube. Madhila yeyote yakimpata itakuwa somo muhimu.Umoja na ustawi wa taifa ni muhimu kuliko yeyote.
 
Murder case uhusika na hata Kama ulikuwa pembeni ukashangilia mtua auawawe. Hii si alichonga lidomo lake.....tusilazimishane aiseee
 
Sisi wananchi ndio hatumtaki maana kwenye mateso alichagua kusimama na watawala badala ya kusimama na wananchi.
 
Baba Tiffah jirekebishe halafu songa mbele,,,,,sidhani kama mabaya yote wanayokuombea yatakupata bado uko na safari ndefu kwenye upambanaji muhimu ujifunze wapi ulikosea. Pambania fungu lako
 
Sisi wananchi ndio hatumtaki maana kwenye mateso alichagua kusimama na watawala badala ya kusimama na wananchi.
Kwa hiyo hamtowataka wasanii wote isipokua hao wangapi tu.Binadam hatuelewekagi kabisa
 
Hawa watu wanatuchanganya mkuu, Wako bungeni miaka kibao leo wanataka mapishi yaliyowashinda wao wakati wako jikoni wamtwishe Diamond.

Yani Diamond leo ndo kawa sababu ya chama fulani kutofanikiwa katika mambo fulani.
Ni ajabu sana hii
 
Kasome tena unisaidie majibu mkuu, Diamond anawakwamisha wapi katika siasa zenu?
Nadhani wameamua kumuandana ili kuamsha hisia chungu kwa mashabiki zake maana ni njia rahisi zaidi ya kukumbuka yaliyotendwa nyuma..sababu ushabiki uko na nguvu sana.Nimewaza tu hili
 
Naona unachanganya biashara na haki. Yule ni mfanyabiashara, na mfanyabiashara yeyote anafata masirahi. Weka hii akilini
Yule alikosea kuwaomba Watanzania kumsapoti kwenye ule mpambano ndipo wanaharakati wakamwambia mbona tulipolia kuteswa na watawala hukutuunga mkono badala yake ukaungana na Watawala kutuzodoa. Kwa hali hiyo nawewe pambana na hali yako. Si suala la wivu ni suala la mshikamano. Hata huku mtaani kama hutokagi wenzio wakilia hata wewe utakapolia wanakunyamazia na kukuzodoa. Kwa hiyo dogo amelianzisha mwenyewe kuomba mshikamano wakati yeye hakushikamano wenzie walipolia.
 
Anachokipata Sadala ni jambo la kawaida sana. Wenzake walishapigwa risasi Bob Marley, Luambo Franco alishikishwa adabu na Mobutu. DKT. Remmy ongara alikutana na mkono wa chuma 1995 mara baada ya kumuunga mkono Mrema. Sadala anavuna nguvu ya mapinduzi ya teknolojia.
 
Kwa hiyo una maanisha magufuli alipo kaa kimya dhidi ya upigwaji risasi lissu basi na yeye alibariki?
 
Ndiyo maana mwendazak aliwafurukutsha mbal wapinzan maan hawajielew, hawajui nn wanataka.
Dai atachkua tuzo krahis tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…