PostGE2025 Kesi ya Ugaidi ina Dhamana? Kwanini Viongozi wa CHADEMA wamepata Dhamana? Kuna presha ya maridhiano?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nilitabiri hii, hii imelenga kufifisha main oposition ambae ni chadema
Kuondoa credibility yao kwa kuwatumbukiza kwenye maridhiano hewa
Wakijichanganya watakuwa kama cuf, nccr and the like
 
After damage iliyo fanyika now maridhiano make sence?

And what about maisha yaliyopotea?
 
Naaam uko sahihi
Na wakiushinda huu mtego chadema itakuwa ina nguvu kulicho chama chochote tanzania including ccm. Haya mauaji yaliyotokea yana interest kwa watanzania wote, africa nzima and most likely na duniani. Kwa hiyo haya maridhiano sio ya chadema tu bali ni ya watanzania wote. So chadema be very careful. This is your opportunity to take you up the sky or your miserably downfall.
 
Mambo ya Maalim ndo unafananisha na aya uko timamu kweli jino jino Umma umekubali
 
We nani alikwambia wameshtakiwa kwa ugaidi?
 
mnaridhiana kwenye nini? Labda walete katiba mpya kitu ambacho hawawezi sasa maridhiano ya nini watu wamekufa twende jino kwa jino hatuwezi kufika bila serikali kutambua nguvu ya Umma
 

Kuna viongozi wa dini, wametumwaa kwenda kwa Tundu wakaongee nae akubali kufanya maridhiano, Tundu kawaeleza kwamba hawezi kuingia kichwa kichwa pasipo kujua ni nini kilitokea wakati na baada ya uchaguzi.
KWa hiyo hii ya kumwachia Heche na wenzake ni kuendelea kutengeneza mazingira mazuri ya kile kinachoitwa maridhiano.
Lakin serikali hii ya kizanzibar lazimq ijue kwamba ina jukumu la kuridhiano na raia mmoja, familia za waliotekwa, Taasisi, jumuiya mbalimbali pamojq na vyama vya siasa.
Lakini uzuri ni kwamba Tundu siyo mbowe. Tundu hawezi kukubali maridhiano hewa kama yale ya mbowe.
 
Mfano wako hauna maana hapa kwani wakati huo Maalim Seif na chama chake cha CUF walishiriki uchaguzi. Hapa Chadema haikushiriki. Wapatane kwa lipi??

CCM imeamua kujitwalia madaraka bila ridhaa ya wananchi. Hapo ndipo penye shida. Kama wanahitaji maridhiano wakafanye na raia waliowakataa.
 
Sina shaka na Lissu Kwenye mambo haya hawawezi kumtikisa kabisa he's more intelligent than them....
 
Kinachohitajika ni uchaguzi huru, kama CCM wao wataamua kuendelea na Samia kama mgombea wao katika uchaguzi huru hilo waachiwe wenyewe.
Mkuu mbona unawaza kitoto sana? Ccm wafanya kampeni zao miezi miwili, wasombe watu, wafanye uchaguzi wajitangaze kwa kishindo, waue maelfu ya watu, alafu leo hii watake kurudia uchaguzi? Kuna mambo hata mtoto mdogo anaona hayawezekani. Labda kama unaota
 
After damage iliyo fanyika now maridhiano make sence?

And what about maisha yaliyopotea?
Kwahiyo tuiangushe Tanzania kwasababu ya kilichokwisha tokea? Hakuna vita ina malizwa kwa vita. Haiuna Taifa halijawahi poteza mamilioni ya watu katika harakati za kuwa na jamii huru lakini mwisho wa siku ni maongezi yaliwaleta pamoja sio nani mwamba kati yetu.

Kasome historia ya Marekani mnayoiyona leo. Japan iliokuja kuwa bora badae walipigana vita mpk siku walipokaa mezano kwa mazungumzo ndipo walianza safari kwakujenga mifumo bora.
 
Tatizo mnavichwa vigumu mno kuelewa na kutambua kuwa cdm ni kivuli cha ccm na hapo wako kazini kuwaraghai waTz vichwa panzi
 

Hakuna namna lazima tuzipige, tabaka la watawala dhidi ya watawaliwa
 
Hapa ndipo mnapokosea.
Kama mnafanya harakati zenu fanyeni.msifosi wote wawe upande wenu
Huyo ni spinning master kumwelewa inapaswa utilize kichwa. Hapo anataka kuwasukumia viongozi msala. Jina lake ukiongeza herufi F utajua namaanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…