Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Wewe unashida,wewe ni SIMP!!!

📌📌📌ANZA KUHUDHURIA VIKAO VYA WANAUME.
 
Sina uwezo kivipi, boda boda ni kitu cha mpito tu, Ata mimi Nina degree hizo wanazoringia
Unadegree ila huna akili ya kujua nini unataka bado unaulimbukeni na ndoto za alinacha.Hiyo degree yako ni takataka never ever mention it again kama defensive mechanism ukiwa unafanya arguments.Ukiwa unaitaja unafanya hata degree ulionayo idharaulike maana imeshindwa kukufanya uwe na akili ya kuona mbali zaidi ya pua yako.
 
Wewe bado degree yako hsijakusaidia.Ukosefu wa ajira unakunyima confidence ya kufikiri vyema.
 
Humu JF kuna wavulana wengi yaani vitu simple kama hivyo how a womans brain inafanya kazi mtu hajui ila kazi kushupaza shingo.
 


"Inategemea na umri wako mkuu kama upo 35+ na tayari una mtoto/watoto unachokiongea kinaweza kuleta maana lakini kwa kijana ambae ndio anaanzisha familia kwa mara ya kwanza mwanamke wa miaka 30+ ni risk ya hatari zaidi, kwa sababu huyu anakuja na emmotional baggage kutokana na heartbreaks za mahusiano yake ya nyuma na possibly kizazi akipo active kwa sababu ya umri kusogea na uwezekano wa kuwa tayari ashafanya abortions au kunywa dawa za uzazi wa mpango. Hata hivyo mwanamke wa miaka 18-20 sio mtoto, huyu kama kalelewa na wazima wake vizuri tayari ana qualifications zote za kuolewa labda tu awe bado mwanafunzi wa sekondari."

📌📌📌📌WALE VICHWA NGUMU SOMENI HII POINT NA MUELEWE!!!
 
Huna akili!!!

📌📌📌Hujaelewa mada,soma mada kichwa kikiwa sober!!!
 



Suala la kuoa bikira kinachomaanishwa ni uwezekano wa mwanamke kuwa mtiifu. Mwanamke ambae umemkuta akiwa bikira ni kiashiria cha maadili mazuri na uwezo mkubwa wa mwanamke uyo kuvishinda vishawishi huyu hamjui mwanaume mwingine zaidi yako kila moment yenu itakua ndio first experience kwake uwezekano wa kuwa mwaminifu ni mkubwa zaidi, ukilinganisha na yule ambae umemkuta ashatumika, kwa sababu huyu bado ana kumbukumbu za maex wake kwaiyo kila moment yenu atakua anakulinganisha nao na obvious hauwezi kuwazidi maex wake kwenye kila kipengere sasa hapo kwenye gap ambayo inakosekana ndipo zinapoanzia hisia za kwenda kuitafuta iyo pleasure nje.

📌📌📌Wale vichwa panzi nawasogezea point kuntu de conscious🤗🤗🤗🤗mshindwe wenyewe.


KULENI VYUMA HIVYO!!!!
 
Mwanaume hana menopause. Baba yangu kapata mtoto wake mwingine (sina uhakika kama ni wa mwisho) akiwa na miaka 64. Jikumbushe Reginald Mengi pia.
 
Nimepokea mkuu🙏, wala sichukulii kama tusi, nitaimention tu mzee, maana Sina mpango wa kuiombea ajira!

Leta hoja, turudi kwenye mada yetu ya mwanzo
 
Wewe bado degree yako hsijakusaidia.Ukosefu wa ajira unakunyima confidence ya kufikiri vyema.
Unahisi unahisi sifikiri vyema mkuu kwa kigezo kipi! Au kisa ni boda boda ndo unachukulia poa mkuu🥶
 
USHAURI UNATOLEWA NA MWANAMKE KWENYE SWALA LA WANAUME🚮🚮🚮
 
Kijana kataa ndoa, Linda furaha na amani ya maisha yako
 



"Hayo masuala ya zamani na usasa ni ilusions zetu lakini binadamu ni wale wale na bioligical factors zetu ni zile zile.

Mwanaume wa miaka 30 na mwanamke wa miaka 20 iyo ndio psychological na biological gap sahihi kutengeneza bond katika masuala mengi sana.

Miaka 27-30 hapo akili haijapevuka sema hapo tayari ameshachezewa kiasi kwamba hakuna jipya tena kwake. Mwanamke aliepewa malezi mazuri miaka 20 tu tayari akili ishapevuka. Mnatakiwa kutofautisha damaged woman na matured woman."

📌📌📌Mimi nipo na vichwa panzi tu,naendelea kuwadondoshea POINTS ZILE KUNTU DE CONSCIOUS🤗🤗🤗🤗
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…