Kijana wa kiume ambae upo 30's mwanamke wa kuoa ni mwenye miaka 18-23

Umenielewa mkuu?. Ambacho tunakipinga ni ile mkataba wa ndoa. Masuala ya kulea watoto yanawezekana bila kusaini ule mkataba.
Kibiblia, ndoa ni pale ambapo mwanaume amemtolea mahari mwanamke na mwanamke huyo akaridhia pamoja na familia yake kumkabidhi kwa mwanaume huyo.

Spiritually ndoa inaanzia hapo ila agano linakuja kufungwa pale ambapo wanapokutana kimwili. Hii ndio asili ya ndoa ambayo Mungu aliinzisha.

Yusufu aliazimia kumwacha Maria, malaika akamwambia asimuache mkewe, sasa kwanini Maria aitwe mke wakati alikuwa ameposwa tu? Shetani amejaribu sana kugeuza nature ambayo Mungu alituwekea. As usual, ili kupitisha ajenda zake duniani, akatumia jinsia ile ile iliyoleta dhambi duniani.
 
Unaaproach type gani au ndo hao walioaribikiwa.


Ukitaka mke wahusishe watu wazima au nenda mikoa kama TANGA.Ila ukitaka demu wa kupiga ingia mzigoni mwenyewe.
Kwahiyo Tanga ndo kuna wife material siyo
 
Ruka ruka kataa kubali bikra haijawahi kupoteza thamani na haitokuja kupoteza thamani. Mungu alikuwa anajua ila ndio hivyo viburi vyetu,ukiangalia sasa adui mkubwa wa ndoa ni ex.
Wakuu mnapiga spana hatari, kikubwa yote mzungumzayo yote ni kweli.
 
Kmmke mkuu shikilia hapo hapo, piga spana mpaka waelewe. Huu mwaka kabla ya kuisha mkuu inabidi nkutafutie zawadi.
 
Mwanamke wa miaka 40+ hawezi kumudu shughuli ya mwanaume mwenye umri huo. Miaka 40 sex drive ya mwanamke inaanza kuingia kwenye decline stage wakati kwa mwanaume ndio yupo kwenye kilele chake. Labda kama uyo mwanaume ana matatizo ya kiafya.
  • Men's sex drive reaches its peak during the late teens to late 20`s. From 30`s, testosterone levels start to drop.
  • Women experience the peak of their sex drive during their mid-30`s to early 40`s due to increased confidence, a better understanding of their bodies and stable hormone levels.
 
Hebu nisome vizuri acha kukurupuka na kuleta makasiriko, ndio maana nikauliza hao wanaoolewa kwenye prime age ni wangapi, ukilinganisha na idadi ya wanaume wanaohitaji kuoa
Kwahiyo unataka kusema wengi wanaoolewa ni mishangazi kama wewe?
 
Kwahiyo unataka kusema wengi wanaoolewa ni mishangazi kama wewe?
Hapana swali ni kwamba, hii mishangazi inayoolewa kila siku inaolewa na kina nani, wakiwemo mama zako na dada zako
 
Ha ha ha
 
Hapana swali ni kwamba, hii mishangazi inayoolewa kila siku inaolewa na kina nani, wakiwemo mama zako na dada zako
Mama na dada zangu waliolewa mapema, kwasababu walikuwa na sifa za kuwa mke, nawewe ungekuwa na sifa hizo ungeshaolewa, usibgekuwa msimbe mpaka sasa.
 
ila mtoa mada ungebadili kidogo umri, iwe miaka 20-25, unajua mwanamke akizaa akiwa chini ya miaka 20 ni hatari kiafya? Pia akizaa akiwa zaidi ya miaka 35 napo ni hatari.
 
ila mtoa mada ungebadili kidogo umri, iwe miaka 20-25, unajua mwanamke akizaa akiwa chini ya miaka 20 ni hatari kiafya? Pia akizaa akiwa zaidi ya miaka 35 napo ni hatari.
Unaweza kupanda kulingana na preference zako, ndio maana nikaweka interval. Miaka 25 ni mbali kwa kizazi chetu hiki ambacho watoto wa kike wamepewa uhuru wa kufanya ngono kiholela bila kuwajibishwa, huo umri utamkuta mwanamke ashakitombesha sana
 
Bado balehe inasumbua Huyu, hivi videmu nilipoanza kufika miaka 33🤣vilikua vinaniambia nitafute saizi yangu
 
Mama na dada zangu waliolewa mapema, kwasababu walikuwa na sifa za kuwa mke, nawewe ungekuwa na sifa hizo ungeshaolewa, usibgekuwa msimbe mpaka sasa.
Mimi sitaki kujua kama waliolewa mapema au la hilo halinihusu ninachojua ni kwamba wao ni mishangazi, kwa sababu hata wewe hunifahamu wala hujui ukweli kuhusu mimi ila kwa sababu ya kushindwa hoja ukaamua tu kuconclude kwamba mimi ni mshangazi, na nafikiri hata mimi nikiamua kuconclude tu kwamba wewe ni shoga nitakuwa niko sahihi maana hii defensive mechanism na ad hominem attacks za kitoto hata sisi tunaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…