Ni kweliTAARIFA MUHIMU; Lowassa kuhutubia live usiku huu; Mgombea Urais wa CHADEMA ambaye pia anawakilisha UKAWA, Edward Lowassa atahutubia taifa usiku huu moja kwa moja kupitia Kituo cha Televisheni cha ITV mara baada ya taarifa ya habari. Hii itakuwa Kwa ajili ya Watanzania ambao kutokana muda kuwa mfupi hawakupata fursa ya kusikia hotuba yote aliyopanga kuitoa leo Kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za kitaifa za CHADEMA na UKAWA.
hiyo tuataichapisha na kuisambaza sie wenyewe:
a)tutajitolea muda
b)tutajitolea uwezo wetu wote
c)tutajitolea elimu ya tehama(it) ktk kuichapisha,kuifafanua na kuisambaza ilani hii kw wale ambao hawana elimu na exposure ya tehama
d)tujitolee kuichapisha ktk vibooktet vidogovidogo vya rangi
Hii habari ya kumuweka Mh. Lowassa mwishooooni muiache. Anaongea dakika 15 tu.
Tunataka apewe muda si chini ya nusu saa tumsikie..Kero za nchi hii ni nyingi saana.
hotuba hakuna pia. But kipi muhimu kati ya hotuba na ilani?
Ipo kwenye laptop ya Slaa
KWANINI CCM hawajibu tuhuma za LOWASA na SUMAYE kuhusu KIKWETE kuwa mhusika mkuu wa RICHMOND?????
escrow.watu tunalia kila siku wahalifu wafungwe jela....lakini sera ya chadema ni kufungulia wahalifu na wabakaji!! Maajabu haya sijui yataisha lini
Mkuu alisema kutokana na muda ataweka hotuba yake kwenye blog hiyo.sio ilan ya uchaguzi pili aliposema ataiweka haikua namaana kwamba ataiweka muda ule subir
Inashangaza neno "ufisadi" halijasikika kwenye uzinduzi..maajabu haya kweli kuna mabadiliko hapa? Wapi Dr Slaa???
Kumbe Lowasa si fisadi!Heeeh
mimi ni ukawa damdam pia namkubali saana lowasaa na kura yangu kashaipata kitambo kwasababu lowassa ni mtendaji na mfatiliaji mkubwa wa mambo ila shida moja tuu ni kwamba kwenye speech jamaa bado hajajipanga vizuri.. ombi langu ni moja tuu kwa viongozi wa ukawa ebu tujaribu kumpanga mzee vizuri kwenye speech...bse wananchi wanaitaji kusikia sera ya chama yoote na sio summary
Huyo Sumaye ni Ziro kabisa. Anasahau kuwa yeye ndiye mtendaji mkuu wa shughuli za serikaliSumaye lakini aliuliza pale waziri mkuu ni mkubwa serikalini?!