Huwa sipendagi kuchangia mada za single mothers, maana zinahusu hisia sana.
Sio kwamba sinaga vya kuongelea, la hasha, nachagua tu kuwa msomaji.
Ninachoweza sema, wanaoponda single mothers huwa wanasababu zao, na pia single mothers wanaoponda wanaume, nao wanasababu zao. Na sometime pande zote mbili huwa na sababu zenye mashiko.
Ninachoweza kukwambia
Clepatina huwezi kuyaelewa maumivu halisi ya single mothers kwa kusoma habari zao humu JF jinsi wanavyo nangwa. Na pia huwezi elewa maumivu ya upande wa pili kwa kuangalia maandiko jinsi wanavyo wananga single mothers