Kwamba mtu akiwa singo maza tu automatically.anakua much know?
Ambao sio singo maza hakuna much know?
Unaanza ubishi sasa. Unaona sasa kwann wanaume wanashambulia single mothers sababu hampendi kusikiliza maoni yao. Na hii ndio huitwa ujuaji. Maana unakuwa unahoji as if una majibu yote sasa unashangaa kwann mtu anakukatalia unachokijua wewe.
 
Hii kwenye hesabu wanaita 10 - 10 = 0. Yaani umebalance mwisho wa siku haujaweka maoni yako binafsi umeongea kiuoga imeshindikana kujulikana unasimama upande gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…