Nina mashamba moshi kule karibu na ziwa chala. Huku mlimani nina maeneo mawili moja nimegawa bure. 😀 hapa nataka nikuwekee vitu nilivyotafuta kwa jasho langu urithi sijapewa bado 😀 nina mashamba yaliyopimwa na ambayo hayajapimwa

uko wapi wewe Glenn nikifika home naweka hati, nataka uniheshimu mzee😀
 
Huo ni mtazamo wako kama mwanamke ndio maana unataka tuukubali na unafikiri ni reality. Nawanaume nao wanamitazamo yao hivyohivyo nawanaona ni reality ndio maana nikakwambia upendo haulazimishwi. Nanyie kama mnataka wanaume wastawi kiuchumi simuache kuwachuna na mkatae kuhudumiwa, 😂😂😂 two can play this game. Your not the victim, ni akili zako na maamuzi yako usimpangie mwanaume akuwazie vipi kama sisi tusivyowapangia mtuwazie vipi kuhusu sisi kuwa na uchumi wa kuwatunza nyie. Jitunze kunamtu kakulazimisha kufanya mapenzi sitamaa zako. Pia nimekwambia yaishe sista.
 
Hii imekuwa vita sasa... Heshima ni muhimu kweli
 
Kweli ila mi Singo Maza sana sana nitamuongezea mtoto mwingine aendelee kulea, ila kuoa hapana
 
Singo maza ni zao la kupenda ngono na kuendekeza Uzinzi tu

Singo maza wa kuonewa Huruma wapo lakini hawazidi 2%
Ha ha ha hata hao 2% utashangaa anakwambia alibakwa.

Halafu unamuoa tu, unasikia "Mume wangu baba wa Brian anataka kumuona mtoto"

Halafu sijui huwa inakuwaje. Ukioa tu ndio sinema la baba wa Mtoto linaanza.
 
Hii imekuwa vita sasa... Heshima ni muhimu kweli
Unajua kwa sababu nina masihara wao wananiona njaa sana. Wenzao naweza lala week najua naingiza🤣 wanafikiri kwa sababu wakiona watu online hawana basi wana njaa

namweleza kuna watu wazima huwa wananamkia shikamoo 😀 wanajisahau 🤣
 
Hii kwenye hesabu wanaita 10 - 10 = 0. Yaani umebalance mwisho wa siku haujaweka maoni yako binafsi umeongea kiuoga imeshindikana kujulikana unasimama upande gani.
Na kwanini nichague upande?
Haiwezekani kuchangia bila kuwa na upande?

What if nina ufahamu wa pande zote mbili?
 
Basi imetosha, hakika utawaokota masingo maza kama wote, jipange haswa
Kwa heshima yako nasitisha. Ila mzee nimeoa kila mtu anajua sijawahi fanya hili swala siri na hata kuna watu wameshawahi zungumza na mke wangu hapa.
Mfano Mwachiluwi juzi kanipigia akaanza kumwambia wife mimi ni mtu wa mademu humu. Kaniachia kesi wakati si kweli. Nimemmind kinyama huyu jamaa ni fala kabisa😡😡😡
 
Nikijaribu kuelewa mantiki yako, ni kwamba, after ile comment yangu, aliyeniquote aliniuliza tena swali, akaomba jibu. Sikuwa na choice zaidi ya kumjibu. Kama ambavyo nimejibu hizi quotes zako. Na sito reply quotes zako kwenye huu Uzi tena, ili nisiwe kama mjomba wako.
 
Source ya single mother.
1.kudate na vijana wasio jitambua kama wao ni baba watarajiwa(F*ck boys & playboys )- hili group linapendwa sana na wanawake kisa jamaa eti anajua kupiga pamba ,anajua kumkojaza,wengi wanshindana kuvaa,kumiliki simu kali na kushinda gym nk.

2.Tamaa ya wanawake walio wengi wana aendekeza sana fedha kuliko utu sometimes kama wanaziabudu.

3.Kupenda kudate na waume za watu wa kiamini wanajua tunza.

NB:Ushauri kwa dada zangu wale wanaume mnaowaita,Church boy, wapole,sio wachangamfu kaeni mkijua hawa ndio wanaume ambao wapo tayari kubeba msalaba kwani misuli hiyo wanayo tatizo wengi wenu hamuwataki,mnakuja kushtuka tayari umri umeenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…