Sikalili best! Andaa maswali waliuze wanawake kama 50 irresponsible man yupoje. Mimi nipo pale nasubiri najibu..
Jifunze kwanza kuandika mkuu ndipo tuanze kuijadili hili
Sasa najadili vipi namtu hajui tofauti ya R na L
 
mpaka idadi ya wadada wanaojipangia vyumba au nyumba kabla ya kuolewa itakapopungua.
 
Ndoa ni ya mwanamke, ukiona haolewi ujue ana kasoro. Kimbia
 
Single mama wengi ni kutokana na :-
Mosi, kuzaa bila kutarajia/kupanga,
Pili, kukurupukia ndoa bila kumjua vizuri mwanaume
Tatu, tamaa za kuzaa na wenaume wenye uwezo au KAZI Fulani ukitegemea atakuoa au utafaidika na mali aliyonayo .
Nne , wanaume kukimbia majukumu ya kindoa na kifamilia mfano kukataa kumoa au kumtunza mwanamke uliezaa nae
Sita, biashara ya uchangudoa, baadhi wamejikuta wakipata mimba na kuwa masingle mama
Saba, Wanaume kukimbia familia ZAO na kumwacha mwanamke anahangaika na watoto
Nane,. Kufiwa na mume ungali kijana
Mwisho ni maamuzi ya mwanamke mwenyewe, Kuna baadhi ya wanawake wanapenda kuwa na watoto lakini sio kuolewa. Mfano , wafanyabiara watumishi waserikali wenye vyeo vikubwa na wanasiasa
 
Mbn kama Imla hii
 
Tatizo kubwa la Single Mother's hawaaminiki. Wamejawa ubinafsi sana. Hata uwape moyo wako wote, watakiona hufai na gala tu. Hawajali hisia ya mtu.

Mie sikua naamini maneno ya humu JF, nipo busy na single Mom nawaona hawa jamaa wa humu kama vile wana roho mbaya tu. Nilimuweka exceptional sana. Nilimuhudumia kama mke na mwanae huyo kumsomesha shule nzuri kwa kipato changu, chekechea kulipa 1.25m kwa mwaka niliona inatosha kwa msaada kwa huyu single Mom maana tulikubaliana kuoana na kutengeneza familia.

Viwanja nikamwambia andika kwa majina yako( nilikua namtumia pesa mie na chagua kiwanja na ukubwa ninaoutaka). nikajenga kiwanja kimoja nyumba kubwa ikabaki kuezeka tu. Nililenga kumuwezesha asahau machungu ya huyo mzazi mwenzie ili nimuoe akiwa na free mind set. Sikujua kama najenga kaburi la mahusiano yetu.

Saiz kageuka kudanga ili amalize nyumba, napo anakwama maana nadhani anakodanga hawamuwezeshi vya kutosha. Ananisifia bla blaaa nyingi na kuniomba tuwe marafiki kama kuoana sitaki. Nimsamehe maana hajanite dear maovu tu katika mahusiano yetu. Ila nikiwaza kipindi anafanya visa na maonyo takribani mwaka mzima nambembeleza aachane na hayo hasikii na ujeuri juu nachoka kabisa.

Nashauri kijana usiwe mbishi kama mimi. Single mother mfanye tu awe recreational instrument. Sio partner.
 
😂😂😂😂Haki nimecheka apa mpk mbavu zinauma apa single mama mimi tena ninye kutoka apa mpka mwenge labda ili nimuoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…