Kwa dunia ya sasa ilivyo chanzo ni wanawake wenyewe. Naamini wewe ni mwanamke na utakubaliana na mimi kuwa mwanake huzaa na mwanaume anaemtaka yeye na si vinginevyo. Kwa dunia ya sasa mwenye maamuzi ya kuzaa ni ke, me unaweza mwagia ndani sanaa kama ke hataki kuzaa na wewe hupati kitu.
Sasa ke anapoona huyu anaweza nilele kiumbe changu vizuri anatega na kupata mimba ( elewa maana ya kiumbe changu). Sasa hapo kama mwana aliyemtegeshea hawakuwa na maelewana ya kuzaa na kama jamaa atazingua kwenye huduma ndio hapo anapotafutwa mwanaume mwingine ambae mtoa uzi kamuita mpumbavu wa kumlele mtoto wake ili akue. Kwa muda huo atampa mahaba sana kwa kuwa anashida.
Ni sawa na ndoa za sasa, najua utakataa ila nakuambia wanawake wengi sasa ivi wanaweza kubali tu kuole kwa sababu ya mambo mawili
1. Jamaa anakauwezo na binti hajiwezi muda huo.
2. Ili aonekane aliwahi olewa.
Baada hata ya miaka 15+ huko watoto wamekuakua anaweza anzisha timbili tu muachane. Sikuhizi mna msemo weno “sina amani na hii ndoa”. Sasa unahiuliza huna amani baada ya kujiweza? Baada ya miaka 10+? Baada ya watoto kukua? (Rejea Crhistina Shusho). Hapo jua kabisa mwanamke ulishamuwezesha na kajiweza. Yaan hadi tunatamani tuwe wazee wa zamani hawakutaka mwanamke afanye kazi, yy ni kuletewa na kula. Waliona mbali sana.
Huwa inaniuma sana kuona Me anatapeliwa kizembe zembe tu kisa mbususu ya singo mama. Any ways, ndio maisha wanaume tulichagua, acha tuone tutaishia wapi.