Watakupopoa. Nami niongezee, pia wanaume kuweni makini mnapozaa na hawa wanawake na mkaamua kulea mtoto huku akikaa na mama yake. Wanawake wa kisasa wanasort me mwenyeuwezo wa kumlelea mwanae kwa maana ya matumizi kama kumpeleka shule nzuri (elewa neno mwanae). Akimpata anazaa nae, me utatuma sana matumizi kwa mahaba ya mwanao aishi vizuri na asome, ukisahau kuwa swa la malezi umwemwachia single mama kwa 100%. Hapo kwenye malezi ndio kuna tatizo, wapo wanaowapa sumu watoto ambazo huonekana wakikua. Umelea, umesomesha ila dogo akifanikiwa wewe hukumbukwi kama una mchango kwenye mafanikio yake. Utaanza mlaumu dogo kumble alishakula sumu tangu utoto.
Wanaumeee malezi malezi malezi sio kutuma matumizi ni kujua mtoto anavyokua anakua na maarifa gani kichwani