Tupo bench moja...Hivi single mother hutengenezwa na nani? I meant chimbuko la single mother nini chanzo chake?
Je wakulaumiwa ni single mother au root cause inayowatengeneza hao single mother?
Nimeandika comment yangu kwa njia ya maswali ili iwe rahisi kuelewa nikijibiwa
Ila kama umebahatika kuishi nao wengi ni changamoto,labda kama alifiwa lakini hawa ambao binadamu wamewashindwa ni changamotoI'm not a single mom..
Ila mnawaonea jamani khaaa!!!
Yaan mmekuwa ving'anga'aaa!
SiNGle mama wengi wana asili ya umalayamalaya hivi ndio maana walishindwa kukaa na baba wa mtoto au watoto wa ujananiAisee...
Sasa nini chanzo cha single mothers??
Je nyie wanaume hamhusiki katika kutengeneza single moms?
Wanazaa na Nani?
Kwa dunia ya sasa ilivyo chanzo ni wanawake wenyewe. Naamini wewe ni mwanamke na utakubaliana na mimi kuwa mwanake huzaa na mwanaume anaemtaka yeye na si vinginevyo. Kwa dunia ya sasa mwenye maamuzi ya kuzaa ni ke, me unaweza mwagia ndani sanaa kama ke hataki kuzaa na wewe hupati kitu.Aisee...
Sasa nini chanzo cha single mothers??
Je nyie wanaume hamhusiki katika kutengeneza single moms?
Wanazaa na Nani?
Ukweli mtupuSiNGle mama wengi wana asili ya umalayamalaya hivi ndio maana walishindwa kukaa na baba wa mtoto au watoto wa ujanani
Asilimia makosa yanafanyika na Wanawake kukosa maadili kuzaa tu bila ndoaAisee...
Sasa nini chanzo cha single mothers??
Je nyie wanaume hamhusiki katika kutengeneza single moms?
Wanazaa na Nani?
Umeongea Kwa details na feelings, nimekuelewa...Kwa dunia ya sasa ilivyo chanzo ni wanawake wenyewe. Naamini wewe ni mwanamke na utakubaliana na mimi kuwa mwanake huzaa na mwanaume anaemtaka yeye na si vinginevyo. Kwa dunia ya sasa mwenye maamuzi ya kuzaa ni ke, me unaweza mwagia ndani sanaa kama ke hataki kuzaa na wewe hupati kitu.
Sasa ke anapoona huyu anaweza nilele kiumbe changu vizuri anatega na kupata mimba ( elewa maana ya kiumbe changu). Sasa hapo kama mwana aliyemtegeshea hawakuwa na maelewana ya kuzaa na kama jamaa atazingua kwenye huduma ndio hapo anapotafutwa mwanaume mwingine ambae mtoa uzi kamuita mpumbavu wa kumlele mtoto wake ili akue. Kwa muda huo atampa mahaba sana kwa kuwa anashida.
Ni sawa na ndoa za sasa, najua utakataa ila nakuambia wanawake wengi sasa ivi wanaweza kubali tu kuole kwa sababu ya mambo mawili
1. Jamaa anakauwezo na binti hajiwezi muda huo.
2. Ili aonekane aliwahi olewa.
Baada hata ya miaka 15+ huko watoto wamekuakua anaweza anzisha timbili tu muachane. Sikuhizi mna msemo weno “sina amani na hii ndoa”. Sasa unahiuliza huna amani baada ya kujiweza? Baada ya miaka 10+? Baada ya watoto kukua? (Rejea Crhistina Shusho). Hapo jua kabisa mwanamke ulishamuwezesha na kajiweza. Yaan hadi tunatamani tuwe wazee wa zamani hawakutaka mwanamke afanye kazi, yy ni kuletewa na kula. Waliona mbali sana.
Huwa inaniuma sana kuona Me anatapeliwa kizembe zembe tu kisa mbususu ya singo mama. Any ways, ndio maisha wanaume tulichagua, acha tuone tutaishia wapi.
I know some of you could be shocked but the truth must be toldJamii Forums - Where we dare to bully single moms openly. Pathetic! 🚮🚮🚮
Cha zaman lkn , siwah ona softcopy😅😅😅 nakipataje mkuu?
Nakubaliana nawe kwa 100 kabisa. Hao wapo tena wengi tu. Ila nimekua nikisema kila siku hapa, wanaume wa aina hii ni wasen ge na wanastahiri kuchomwa tu.Umeongea Kwa details na feelings, nimekuelewa...
Lakini bado umeweka wanaume kama wao ni malaika.
Mtaani wanawake wengi wanasema wanaume huwa Wana tabia ya kuomba "nizalie mtoto" .
Ili ku prove Kama wanapendwa...
So wanaume wa hivyo pia husababisha idadi ya single moms kuongezekaa.
Tusiwanyooshee Sana mikono....factors ni nyingii
Chanzo hicho hapo soma hiyo post ambayo si ya kutengeneza na video ipo kabisa kama ushahidi.Hivi single mother hutengenezwa na nani? I meant chimbuko la single mother nini chanzo chake?
Je wakulaumiwa ni single mother au root cause inayowatengeneza hao single mother?
Nimeandika comment yangu kwa njia ya maswali ili iwe rahisi kuelewa nikijibiwa
Huyu wa kwangu ni debe tupu asee,mwanaume timamu hawezi ishi naye,alafu suala la kugawa uroda kwake sio tatizo anaweza kuwapa wote ni nyie tu