Unajua nimevuka mito mingapi mpaka nimefika Dar?
anajisumbua tuπŸ˜€
Aah wapi, mto marangu, wami na ruvu tu?
Mimi nimevuka hadi mipaka na sisemi...acha uboyaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mashairi ya mapenzi ya Suleiman 🀣🀣🀣🀣
Mwamba ,"Suleiman" alijua kuimbisha hadi sio poa.
Nasemaje???? Kutongoza ni fani za watu.
Unashusha mistari hadi pisi kali inashusha pumzi...eehuuu inaishia kukumbatia taitiiii🀣🀣🀣
 
Mwamba ,"Suleiman" alijua kuimbisha hadi sio poa.
Nasemaje???? Kutongoza ni fani za watu.
Unashusha mistari hadi pisi kali inashusha pumzi...eehuuu inaishia kukumbatia taitiiii🀣🀣🀣
"Mafadha" church boys wanatumiaga mistari ya kitabu hiki kuchapa mabinti wa kanisani na wanakwaya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Aah wapi, mto marangu, wami na ruvu tu?
Mimi nimevuka hadi mipaka na sisemi...acha uboyaπŸ˜‚πŸ˜‚
bahati mbaya tu ungwasi iko nyuma. Ila natokea huko msituni navuka mito mpaka nifike kiboro nimechoka
Home tunatumia maji ya mto bomba tumeweka juzi tu. Nyumba ya mzee wamekuja watu wanadai Mita 60 kutoka mtoni ni sehemu ya mtoπŸ˜€
 
I have interacted with here before Clepatina is one of the people I like having conversations here huwa nafarijika sana.

Ila mada ya leo nimepata ukakasi kuna kitu nyuma ya paziaπŸ˜€ women get emotional always
actually must be something hidden and suppresed and that's the only way she release, its good for health though
 
Hakuna kitu sipendag kama bikra

Hata ikitokea nikapenda kibinti ambacho ni bikra nitasubir wakitoboe madogo wenzie kwanza ndo mzee baba niingie
 
"Mafadha" church boys wanatumiaga mistari ya kitabu hiki kuchapa mabinti wa kanisani na wanakwaya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Utasikia wakisema...
Rnyi mabinti wa Sayuni, mimi japo ni mweusi mweusi lakini nina uzuri🀣🀣🀣🀣
 
Kaka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…