Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
mbuzi nyama kidogo unafikiri mbuzi a afika kilo 15? mbuzi aanakula mama kwa uzazi. Kila week nachinja kuku wawili😎 afurahi mke wangu. .

nitakualika ikichinja Rombo kule nawez China ng'ombe ila mpaka December bado mapem sana kupanga kupanda🙃
Rombo siendi hasa disemba ni nyama za makafara, wachaga wajinga sana nyie🤣🤣🤣
 
Ukiona umeshakuwa single mother, kinachobaki wewe Ni kutafuta pesa tu, single mother ukishakuwa na pesa hmna mtu atasema una laana, Tena ikiwezekana wakariri wale unaoona wanakusimanga na usingo mother wako, kao ndo wa kuwanyima pesa pindi utakapozipata. Kwa miongo mingi tumejizoesha kuishi kwa approval ya watu, it's better to have self love.
UmewazA vyema ila pesa huisha na sio wote watafanikiwa kuwa na pesa yakuwafutia hiyo laana ndo mana nikawaomba kaka/baba zetu wasi generalize
 
Rombo sienda hasa disemba ni nyama za makafara, wachaga wajinga sana nyie🤣🤣🤣
Naenda Chinja ng'ombe mh bung'a pa kanara wewe kama huli ni wewe, nawatolea wazee wangu wa zamani🤣

Biblia inasema kimuongiacho mtu sio dhambi bali oimtokacho. Wewe nyama inakusumbua nini? 😀
 
Naenda Chinja ng'ombe mh bung'a pa kanara wewe kama huli ni wewe, nawatolea wazee wangu wa zamani🤣

Biblia inasema kimuongiacho mtu sio dhambi bali oimtokacho. Wewe nyama inakusumbua nini? 😀
Silagi nyama za matambiko.
Jeuri ya kuchinja ninayo tena kubwa tu
 
Siwezi kuthubutu kuwa na singo maza kwenye mahusiano au ndoa.

Tena endapo baba wa Mtoto wake yupo hai
Kwa hiyo umesikia jamii inasema hawafai na wewe umelibeba kama lilivyo ilhal hata ukaribu nao hutaki?
 
Uko sahihi kabisa mkuu japo mimi sijawahi kuamini kuwa wanaume wote ni mbwa sbb nishakutana na wanaume wema kama malaika🙏
Hiyo ni nature. Mpenzi wako akikufanyia jambo zuri, utamsifu sana yeye peke yake. Ila huyo huyo akikuumiza, utapeleka lawama kwa wanaume wote.

Same goes to single mothers. Lawama zinawaendea collectively, ila makosa yanafanywa individually. Ukilielewa ilo, hutoumiza kichwa kudhani single mothers wanachukiwa.
 
🤣🤣🤣 shangazi hawana maziwa ya moto hata kidogo. Mpaka nikawa najiuliza mashangazi anayokutana nayo Analyse ni wanatokea mkoa gani?
Tatizo lenu nyie mkisikia "shangazi" picha inayowajia ni mwanamke fulani mnene, mweupe, ana hela nyingi.

Matokeo yake mnajikuta mnapapatikia mashangingi, badala ya mashangazi then mnaleta lawama JF. 😅😅😅

Kila mmoja ashinde mechi zake.
 
So tatizo lako unaangalia upande mmoja Wengine wanastahili kuwa single mothers kwa uzembe tu 🤔
ila kwa case chache haimaanish wanadharaulika 😀 what do you want me to say?


I still see single mothers wakiolewa ukisoma mtandaoni utadhani single mothers hawaolewi🤣
Sijaangalia upande mmoja bali nimesema mwanamke anayeweza kutegesha mimba tayari huyo ni kichomi maana akili zake tayar zinaonesha hazifanyi kazi.
Mwanamke mwenye kujielewa hawezi kumfanya mtu akawa baba wakati huyo mtu hataki au hajajiandaa kuwa baba nae au kwa wakati huo.
Kwa hiyo akisemwa kuwa ni kichomi huwezi kumtetea ila asisemwe ni kichomi sbb ni singo maza.Huyu ni kichomi hata kabla hajawa singo maza.
 
Pole zake uyo bidada kwa lililomkuta
Kuna mitiana binadamu tunapeana ambayo inakuwa sababu ya kuzamishana au kuinuana inategemea na uwezo wa kuyakabili

Hili swala la single mothers linachangiwa na mambo kama
1. Upungufu wa elimu za kijamii ( siku hizi hatufundwi hatuendi jando)
2. Pesa inapendwa kuliko utu
3. Dharau
4. 50% - 50%
5. Utandawazi
 
Ukijilengesha mimba kwa kuwa umeona jamaa anakaupepo ka hela mtateseka tu. Kama jamaa anaonesha hana nia ya kuwa na wewe on permanent terms kwanini umbebee mimba?
Kama unaona watoto kuteseka sbb ya uzembe wa mama zao ni sawa basi sawa ila hicho ulichouliza jibu lake liko hapo kwenye koment yangu uliyoiquote
 
KUA SINGLE MAZA NILAANA KUBWA SANA.. USIWADANGANYE MABINTI .WAACHE SINGLE MAZA WAPAMBANE NA LAANA YAO WENYEWE.

BINTI USIKUBALI KUA SINGLE MAZA SINGLE MAZA NI LAANA, SINGLE MAZA NI UMALAYA TUU
 
Kama unaona watoto kuteseka sbb ya uzembe wa mama zao ni sawa basi sawa ila hicho ulichouliza jibu lake liko hapo kwenye koment yangu uliyoiquote
Mnajilengesha ili iweje? Muhudumiwe for the rest of your lives kisa mtoto?

Kwa sababu utatumia sababu uliyoitaja hapa juu?

Narudia kama mtu hajaonesha haja ya kuwa na wewe maishani mwake usimbebee mimba.

Mnatutesa baadae tukipata familia tunazozitaka.

Tena wengine mnajua kabisa mtu kaoa na mnajibebesha mimba. Halafu mnasingizia mtoto atateseka 😡😡😡
 
Mkuu, Mimi pia natafuta Mentor
Kwa sababu ni vizuri mtu ukawa una advance kila siku ni kweli pia unahitaji mentor.
Ila kwa level niliyopo unaweza kuwa mentor wangu na mimi nikaadvance pia
 
Back
Top Bottom