Ukiona umeshakuwa single mother, kinachobaki wewe Ni kutafuta pesa tu, single mother ukishakuwa na pesa hmna mtu atasema una laana, Tena ikiwezekana wakariri wale unaoona wanakusimanga na usingo mother wako, hao ndo wa kuwanyima pesa pindi utakapozipata. Kwa miongo mingi tumejizoesha kuishi kwa approval ya watu, it's better to have self love.
 
Hapana hatacheza 🀣and I expected the response but it feels good that I did it anyway.

May be one woman somewhere out there will read my thread and feel good πŸ™

It means alot you appreciating thisπŸ™πŸ˜˜.

Everybody needs a Gily in their livesπŸ₯€
 
I always appreciate you girl. Though don't care for everybody to need me. It only matters if you Clepatina need meπŸ™ƒπŸ˜Ž
 
Sasa nimepata kidume cha kwanza juzi nimechinja mbuzi wawili. πŸ˜€
Hujui furaha yangu tu ila ni kubwa mno. .
Tualikane Shemasi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
πŸπŸ–πŸ‚πŸ„
 
We fala sana uliahidi kunialika
mbuzi nyama kidogo unafikiri mbuzi a afika kilo 15? mbuzi aanakula mama kwa uzazi. Kila week nachinja kuku wawili😎 afurahi mke wangu. .

nitakualika ikichinja Rombo kule nawez China ng'ombe ila mpaka December bado mapem sana kupanga kupandaπŸ™ƒ
 
Una michango ya kibabe sana binti...safi sanaa
 
Uko sahihi kabisa mkuu japo mimi sijawahi kuamini kuwa wanaume wote ni mbwa sbb nishakutana na wanaume wema kama malaikaπŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…