Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya
Hata mimi mkuu kuna single mother kiukweli nawish kumuoa, Mungu awabariki single mother wote aisee
 
Single mother ni watamu Sana
1.wana jua kucare
2.wana uzoefu wa malezi ya mtoto/watoto
3.watiifu
4.anakuheshimisha kwa kukupa mtoto/watoto ambao ukiwalea vizuri wanaweza kukufaa badae

Tuwajali single mother
,Tuwapende single mother.
Hata 3rd choice usithubutu singo maza wana mengi hutayaweza hya ya ku care unajidanganya bure
 
Kupanga n kuchagua! Syo single maza ama single dady wote c wa kuwaamini! Uwanjan tutaingia bila bila
 
Chukua mzigo weka ndani,usisikilize maneno ya watu.

Angalia moyo wako wasemaje.


Baada ya mda ataangalia akili yake inasemaje, Single Mama lazima:

1. Cheti cha kifo - Majina kama NIDA.
2. Picha ya kaburi - Majina kama NIDA.
3. Hakiki jina hospital aliyofia.
4. Hakiki picha linganisha na mtoto.
5. Hakiki kama hakuna shemeji nyemelezi.
 
Wadau hope mko poa

Daaah kweli usitukane mamba kabla hujavuka mto mimi nilikua wa kwanza kupinga kuoa single mother leo hii nimeangukia penzi la single mother na nataka kuoa kabisa.

Mambo yanabadilika niombeeni.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Achana na watu wa hapa ndani wote wanamiliki single maza pisi kali kweli kweli.
 
Back
Top Bottom