Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

Hao aliowauzia Mwinyi ardhi wameenda nayo wapi?

Na sasa tunae mama ardhi ipi aliyoiuza?

Wacheni uongo na chuki za ubaguzi.
 
Wamewekeza London Port na Southampton, na huko wanafanya ubaguzi wao?. Huko USA wamewekeza katika bandari sita, na huko wanaleta siasa za ubaguzi?.

Tuwe watu halisia katika dunia halisia, upungufu hata sisi wenyewe tunao mwingi tu kama ukiwasikiliza watu wa mabara mengine wakiwa wanatuongelea.
 
Bandari zote bahari na maziwa yoote Usisahau hilo .....!! Hapana Hapana Hapana
 
Kinachokusumbuwa wewe ni hiyo "waarabu" hakuna kingine.

Lini ukibaguliwa na Mwarabu?
. Tegemea haya :

 
Mtuongoze tufanyenini kuilinda bandari ,mbona tuliongozwa kuhusu Idd Amin wa Uganda.
 
Jimama limeibuka baada ya kusikia bandari wameuziwa waarab..
Aah, ndiyinkwanza umeluonanhilo? Tumranza na DNATA Zanzibar, tunakuja na DP World pirt zote za Tanzania.

Airportbya Kilimsnjsro tsyri inadubiriwa kazi tu ianze, tunaitazama Airport ya Dar. Jwa karibu sana.
. Vilevike TAZARA na Reli ya kati ipo kwrnye pipeline.

Air Tanzania nayo tunaichungulia kwa kina.


Utaumia sana.
 
Acheni sumu ya ubaguzi, mnapanda kitu kibaya sana. Kilicho binafsishwa ni uendeshaji na siyo ardhi wala bandari yenyewe.
Kama ubinafsishaji ni mzuri kwanini Bandari ya Zanzibar hawakuibinafsisha na wakati ni kwao? Wao hawapendi vizuri?
 
MImi kwenye ukomo wa mkataba tu nimeachwa mdomo wazi.

Mkataba unasema ukomo ni mpaka mradi/project yao ikamilike, yaani ni kama milele.

Hivi watanzania uwoga utatuisha lini
 

Kama watu wanafanyiwa ubaguzi wa kiitikadi muda wote na mnaona sawa, hapa unashangaa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…