Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

wewe hata ujumbe kupitia ccm huna.
Na hauna tofauti na mwenzio mwashambwa hauwezi kujua ni nani anayebabaika na huo uamuzi wa lisu walengwa wapo.
Wewe unateseka,walengwa Wana babaika
hayo si muhimu sana gentleman,
ile ya maana zaidi ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu jukwaani, hii ndio jambo la muhimu zaidi.

hiyo porojo ingine fanyeni nyie gentleman na itapendeza zaidi
 
Hivi we nyoko unadhani kabisa Kitima ana muda wa kuandaa script? Yani hamnaga akili kabisa.
 
nonsense
 
Hivi kugoma kula huwa ina impact sana hata nje anaona wanaitumiaga sana ulaya na kwingene kuna sheria za kimataifa haki ya kula mfungwa wanasheria nijuzeni
kwani huwa wanalazimishwa kula hata wagomea kula?

kumbuka njaa haina aibu gentleman
 
Yaani kwamba maamuzi ya mahakama inapuuzwa na kutotekelezwa na magereza?

Hii itakuwa ni amri iliyotoka moja kwa moja kwa Rais Haramu Samia Suluhu Hassan.
Hakuna mtu mwingine yeyote hapo katikati mwenye uthubutu wa kufanya hivi.

Hebu kwanza, wanaojuwa uongozi wa Magereza toka juu hadi kufikia hao wa Ukonga tuwekeeni majina yao hapa tuchambue mtiririko wa amri ulivyofikiwa.

Kamishna wa Magereza ni nani?

Na huyo wa Ukonga anayepewa amri ni nani?
 
labda ukamuulize mwenyewe, but maelezo yangu ni muhimu sana yakazingatiwa
WEWE ni matako tu. Kwenye psychology wewe ni mtu usie na akili, ambaye unapenda kuproject, deflect na huna sense of accountability. Huna humility ya kukubali unaopokosea. Nyie ndio mmezaa Gen Z wajeuri wasiojuwa wanapikosea.
 
Naona wengi mnazunguka zunguka tu, mnaleta hisia na blah blah tueni ufafanuzi wa kina.

Kisheria imekaaje mtu akiamua kufanya maamuzi kama hayo yeye mwenyewe tena kwa kuyatangaza hadharani.

Akipata madhara ni hatia ya nani? Yakwake mwenyewe, Magereza au Serikali?
 
Hii haiwahusu wajinga na wapumbavu
Kuna mjinga na mpumbavu kama mtu anaehatarisha maisha yake kwa kugoma kula kwa matarajio kua Serikali itatishika.
"This is Africa."
Agome tu aone.
Hata marehemu Keneth Kaunda baba wa taifa la Zambia aliwekwa kizuizini na Rais aliemfuatia Chiluba, kilichotokea...
Rais mstaafu Mwalimu Julius K.Nyerere kipenzi chake mkuu ilibidi asafiri hadi Zambia kwenda kumshawishi kula.
Nae amsubiri Mange Kimambi atoke Marekani aje ambembeleze akubali kula.
 
Ni jambo la kipepo kama sio kishetani kabisa kuwa na, watu wakatili kulko hata gshetani mwenyewe,unamchukiatu tena bure na unataka hata afwe na unamnyganyasa wazi wazi.Mungu aemdelee kuwaua kikatili ikimpendeza kila siku na jamii itazid kushangilia vifo vyeni mashetan wakubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…