Kibaya zaidi huyo meja general alikimbia uwanja wa vita kuwa drone zinamuwinda
 
Na laiti kama Angekuwepo Brg. Gen Mamadou Mustapha Ndala (marehemu) kipindi hicho akiwa Kanali pia mkuu wa 42nd battalion sijui ingekuaje tu kwa kunguru.
 
M23 washateka Goma yote nyie mnajisifia ujinga kama mi-ccm
Sidhani kama thread inahusu ccm au vyama vya siasa pia kilichopelekea ku comment hivyo kama umefatilia sidhani kama ungekuja na hiyo mihemko kama ya hao ccm. Nenda kwenye Moja ya picha za awali kabisa then tazama walio pembeni ya saba saba wana beret ya rangi gani? Siku comment kwa ushabiki.
 
Kusema ukweli nchi yetu iko vizuri sana kijeshi. Afrika Mashariki nzima wanatuelewa
Hamko vizuri kijeshi ama sivyo CDF asingelalamika kuingiliwa na watu wa nchi jirani!! Kuongiliwa huku mpaka kwenye vyombo vya ulinzi kunaifanya kazi yao kuwa ngumu!
Rwanda wakiamua kurusha drones mtatafutana!
 
Hamko vizuri kijeshi ama sivyo CDF asingelalamika kuingiliwa na watu wa nchi jirani!! Kuongiliwa huku mpaka kwenye vyombo vya ulinzi kunaifanya kazi yao kuwa ngumu!
Rwanda wakiamua kurusha drones mtatafutana!
Rwanda hawana uwezo wa kurusha hata jiwe Tanzania ingawa wanaweza kuwa na vifaa.kwa sababu Tanzania inanguvu mara 100 ya Rwanda.
 
Umesema ukweli ,kinachotakiwa ni kujipa sisi kipaumbele
Na kudeal na matatizo yetu kuliko kuleta kimbelembele kwenye mambo ambayo hata hayatuingizii faida
Manamba hamkosekani mpaka m23 amekiri mziki ni cd mia that's means tuna jeshi imara na vifaa vya kisasa (kwa east africa yetu)

Faida yetu ni kwamba maadui zetu watazidi kutuogopa,kupata deals mbalimbali za kidunia zinazousiana na mambo ya kijeshi,i.e Russia or USA mataifa makubwa yakitaka kuwekeza kwenye army watufikirie sisi.

Hivyo kupelekea wananchi kupata ajira(soldiers), nchi kupata fedha za kigheni,pato la nchi kuongezeka.

Hongereni sanaa sanaaa mnafanya kile mlichopaswa kufanya.
 
KDF wameaibisha sana mkuu
😂😂😂😂Mtu uko kibaruani kwako alafu unakimbia hii kali na wanavyotuonaga sisi mananga.

All in all Kenyans wanatushinda kingreza tuuuu ila kazi za aina tofauti tofauti tunawakimbiza sanaa.

NB:
Nchi yetu ikiwekeza vizuri kwenye kingreza tuna kuja kuwa supa pawa wa east africa tena kwa miongo mingi sanaa.
 
Hamko vizuri kijeshi ama sivyo CDF asingelalamika kuingiliwa na watu wa nchi jirani!! Kuongiliwa huku mpaka kwenye vyombo vya ulinzi kunaifanya kazi yao kuwa ngumu!
Rwanda wakiamua kurusha drones mtatafutana!
Na sisi tukiamua kurusha hizo drone itakuaje? Watu bwana thinking zenu ziko too single sided😂
 
Ahahah..dah yan hao naua woteeee hakyanan
 
Hivi unajua kilichowakuta wanajeshi wa kenya kule Somalia.Hoa m23 hawana tatizo na TPDF ndio mana wametoa warning kuwa wata retaliate kama hivyo vitendo vitaendelea tena kwa kishindo.Ngoja tusubiri majibu kutoka kwao ndo tutaweka hitimisho
Elezea bro nin kiliwapata hao wanajeshi wa kenya !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…