Senior Bachelor ll
Senior Member
- Sep 7, 2022
- 182
- 378
Kibaya zaidi huyo meja general alikimbia uwanja wa vita kuwa drone zinamuwindaNaam, nimependa hii.. Uimara wa TPDF ndio hapa unaonekana.
Kama mission kubwa kama hii anapewa Luteni Kanali, Je zile kubwakubwa wakikabidhiwa Majenereli? iki ni kijembe pia kwa Kenya, maana lile jeshi walipeleka kule lilikuwa chini ya Meja Jenerali kama sijakosea