Wamesema watapeleka kipigo mpaka bandari salama (mzizima)
Wewe sikia hao Ni wapumbavu fulani hivi. Hata kwa ngumi tu sisi raia tunapiga kuanzia rusumo mpaka kigari. Hiyo TPDF imefundishwa utii. Asifikiri Ni congo alipoweka mamluki wake. Ajaribu tumpeleke uhamishoni akafie uko Kama idi amini
 
TPDF wamepewa onyo na waasi vinginevyo watakiona cha mtema kuni
Sikia hawana mavi yakujaribu waambie warudi kwa kagame waachie congo wakae kwa amani. Na kwa taharifa yake wijana wa congo alisi wanapata mafunzo makubwa ya kijeshi hata baada ya kuwafurusha hao wauwaji wake hatorudi congo tena maana watakua imara
 
Waache kutisha Jeshi letu! Wangekuwa na uwezo huo wasingetangaza. Hapo wanatafuta kuonewa huruma. Kama wanataka amani wakubali kuachana na vita.
Siyo kuachana na Vita mkuu. Warudi Rwanda Kama Wana nyege za kutawala wampindue kagame watawale kwao Rwanda. Hao wameua maelfu ya wacongo mpaka hatua hizo zinachukuliwa siyo Jambo la kitoto mkuu.
 
Wakati hayo yanaendelea,,Congo wanapora watanzania wanaosafirisha bidhaa na magari ya mizigo,,wanapigwa mawe wanaporwa hela had chakula,,madereva mnaosafir Congo muwe makini kumechafuka huko!
Tena mpaka wanaua watanzania wenzetu. Ni hivi Kama wanataka Amani lazima wakongo waache kuua watu ambao hawana shida nao Kama wapeleka mizigo wasafilishaji.sababu maandiko yanasema HAKUNA AMANI KWA WABAYA.
 
Hivi nyinvyi mgambo wa jwtz bado mnatumia hizo takataka za BM - 21 [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au mmeendanazo kongo kuondoa vyuma chakavu na mabomu yaliyo expire kwenye maghara yetu yasije kutulipukia kama ilivyo tokea siku za nyuma..
Kajichanganye na bwana ako anajua vizuri tu. Umejionyesha unyarwanda wako mwisho ukajishtukia unamaliza Kama Matanzania. Wanamgambo eeh? Nyege zenu za kutawala congo kampindueni kagame mtawale Rwanda. Hii ni Tanzania na hamtaiweza kamwe. Kila Matanzania Ni mlinzi wa nchi yake na ngoja tumalize viumbwa venu vya M23 alafu tuanze kuwarengesha mmoja baada ya mwingine tukashibishe mamba.
 
Naam na hicho ndicho hasa kilipekekea kwasababu jamaa hadi raia akifika mahala unaweza sema mkutano wa kisiasa kumbe ni Col. Ndala
Hiki ndio kilikua hatar yake. Watu wema huwa wanaogopwa sana na watawala. Asilwambie, adui mkubwa wa ubaya sio ubaya, kinachoutisha na hata kuumaliza ubaya usiwepo, ni itu wema. Na ndicho kilichom cost. Wakamuondoa wabaki wabaya ili wananchi muwe mnchagua m baya mwenye nafuu kat ya waliopo
 
Tz haikushindwa kuwamaliza magaidi wa Msumbiji,bali ilijikita kulinda mipaka ya nchi na haikutaka kujihusisha na mgogoro huo nje ya mipaka ila walibaki kulinda mipaka ya ndani basi.
Plus the fact kwamba, hao hayawani walipojiroga kuingia bongo kusini, sisi tukiwafagia tuu mpaka nje ya mipaka halaf tukaamua kutulia hapo malangon mwetu, ya nje hayatuhusu.
ACha waje hawawani wenzao waliozoea kucheza michezo ya kijinga wamalizane nao. watu wazima hatuchezagi michezo ya kitoto
 
Hahahahaaa! M23 na Magadi wa Msumbiji ni miradi ya watu. Tanzania na Rwanda kila nchi inanufaika na hivi vikundi kwa namna moja au nyingine.
Chizi wewe.mnavyosapoti m23 mnajua na Tanzania inasapoti Upumbavu Kama wenu?. Sasa na nyinyi nendeni msumbiji kuwapiga magaidi Kama sisi tunawsapoti?. Nani aliwafumua kibiti mpaka wakakimbilia msumbiji?. Tumia akili yako vizuri.
 
Chizi wewe.mnavyosapoti m23 mnajua na Tanzania inasapoti Upumbavu Kama wenu?. Sasa na nyinyi nendeni msumbiji kuwapiga magaidi Kama sisi tunawsapoti?. Nani aliwagumua kibiti mpaka wakakimbiloa msumbiji?. Tumia akili yako vizuri.
Kwakifupi tz tuna deal na ishu that matters . Hatuna tume wala resource za kupoteza..vijana wetu sio mercenaries
 
Motomoto noma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…