Kwa war mongers, hii meseji mmeisoma vyema?TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC
Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
View attachment 2893189
Wameenda kucheza ndomboro ya soyo na badada bacongo.Hawa wanamgambo wa KDF walienda tu kujivinjari ma mabinti wa kikongo..hamna kitu walifanya
CDF alikuwa sahihi , wakimbizi wengi kumbe alikuwa anatuandaa na hili tukio na M23 wamejaa kuropokaKwa war mongers, hii meseji mmeisoma vyema?
Tunaandaliwa kisaikolojia na sababu imeshatafutwa
haahaaaa Kibu DNaskia JWTZ walipeleka under 20 years hao wahuni wamesha anza kulalamika je wakienda wakina Kibu D itakuaje sasa..
kuwavuruga akili sio ?Mrusi yuko vizuri asiweke silincer
Tofautisha wale waliodhurika waliua katika peacekeeping mission.Hao jamaa wametupa green light ili waki countermeasure tusianze kulia lia hapa.Noana wabongo wenzangu tunalisifia jeshi letu lakini tumesahau kilichowakuta wanajeshi wetu miaka 2 iliyopita.Hao M23 ni watabe kwenye gorilla warfare na misitu ya huko congo ni nyumbani kwako ngoja tusubiri retaliation yake itakuwa na ukubwa upi
Bro hizbollah kuwafananisha na m23 ni matusi.Nashauri tujielekeze kujenga taifa. Tusizame sana.
Kupigana na M23 wakati Rwanda iko ni sawa na IDF kupigana na Hesbullah wakati Iran haiguswi. Ni vita ambayo itatuchosha tu.
Tustick na point ya kulinda amani bila direct confrontation na hao waasi. Maana hawataisha. Hilo kundi liliwahi kufutwa na kiongozi wake akajipoteza ila limeibuka tena msimu huu.
Majeshi ya Congo DR ni TAKATAKA, JWTZ walishasafisha eneo hilo kitambo wakawakabidhi jeshi la congo lkn muda mfupi tu jeshi la Congo DR likakimbizwa na waasi wakachukua maeneo tena! This time labda JWTZ wawape kwanza mafunzo na silaha wanajeshi wa Congo.Pelekeni moto week 3 fungeni hesabu kabidhi maeneo kwa Serikali ya DRC chap chap
Kafanya nini huyo Maza wako!? Kasonga front?JWTZ chini ya maza iko poa sana.
Nimemaanisha kikundi ambacho kiko connected na permanent source alafu unakishambulia wakati source haiko affected. Hata ukikifuta mnufaikaji atakifufuq kwa maslahi yake.Bro hizbollah kuwafananisha na m23 ni matusi.
Hizbollah ni sehem ya jeshi la Lebanon.
Hamas ni wapigania Palestina.
M23 ni mamluki tu,waache watandikwe.
jeshi la kenya lilijishughulisha zaidi na kujipiga selfie kuliko operation iliyowafanya waende congo,pale hamna jeshi zaidi ya show offKenya walikuwa pale cha ajabu ni kama walienda kupigana ngumi za mtaani.
Keep it up TPDF, taasisi pekee niliyo na imani nayo linapokuja suala la uaminifu kwa nchi.
Huyu kagame sio wa kumuamini Mjanja mjanja sana Ukute anaitaka Tanzania aivuruge amani maana ataamua kulipa kisasi yaani kagame sio wa kumuamini bora tukae kimyaaa sio wa kumjibu.TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC
Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
View attachment 2893189
Nchi haiwezi kwenda ki hasara.Nimemaanisha kikundi ambacho kiko connected na permanent source alafu unakishambulia wakati source haiko affected. Hata ukikifuta mnufaikaji atakifufuq kwa maslahi yake.
Kwa hiyo lazima kufanya calculated risk assessment. Msingi ni usipigane vita ambavyo hakunq faida ya moja kwa moja au ya kinyumenyume upande wako. Kama kuwaua taifa litapata faida ya kiuchumi au kiamani tuendelee. Kama haina faida kwetu tuwachape kichapo moderate bila kuibua uhasama endelevu.
Ni hayo tu
Hapo sawa.Nchi haiwezi kwenda ki hasara.
Kaa ukijua hilo.
Hawa watakuja kutaabisha watoto wetu. hawataishia Congo.Nashauri tujielekeze kujenga taifa. Tusizame sana.
Kupigana na M23 wakati Rwanda iko ni sawa na IDF kupigana na Hesbullah wakati Iran haiguswi. Ni vita ambayo itatuchosha tu.
Tustick na point ya kulinda amani bila direct confrontation na hao waasi. Maana hawataisha. Hilo kundi liliwahi kufutwa na kiongozi wake akajipoteza ila limeibuka tena msimu huu.
Hivi unajua kilichowakuta wanajeshi wa kenya kule Somalia.Hoa m23 hawana tatizo na TPDF ndio mana wametoa warning kuwa wata retaliate kama hivyo vitendo vitaendelea tena kwa kishindo.Ngoja tusubiri majibu kutoka kwao ndo tutaweka hitimishoTofautisha wale waliodhurika waliua katika peacekeeping mission.
Mara nyingi ukiwa katika peacekeeping mission huruhusiwi kufanya fire engagement.
Rejelea 2014 TPDF ilivyowatandika m23.
Sasa kile kinajirudia asa hivi.
Kenya hata mipaka yao hawawezi kulinda.Hivi unajua kilichowakuta wanajeshi wa kenya kule Somalia.Hoa m23 hawana tatizo na TPDF ndio mana wametoa warning kuwa wata retaliate kama hivyo vitendo vitaendelea tena kwa kishindo.Ngoja tusubiri majibu kutoka kwao ndo tutaweka hitimisho