Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mambo ya Beijing hayo. Wenyewe walisema "fifty fifty by twenty twenty" 50 kwa 50 by 2020.
 
Rejea kichwa cha habari tafadhali.. Muktadha ulikuwa ni kuweka ama kutaja makundi na sio kufanya uchambuzi
 
Rejea kichwa cha habari tafadhali.. Muktadha ulikuwa ni kuweka ama kutaja makundi na sio kufanya uchambuzi
 
Mm naomba nisaidie namba ya mganga yoyote anaeweza kuleta utajiri au anaeweza kunisaidia biashara iwe ina wateja sana au niwe na nyota ya hela msaada tafadhar awe anatokea maeneo ya tunduma,mbeya,igawa,makambako sanasana hayo maeneo ila hata akiwa kwingne sawa tu.
 
Nimetaja makundi saba la mashoga ni mojawapo na sijaliweka no moja mbona umelikomalia hilo?
Si kweli kwamba kampeni ya kataa ndoa ni kwasababu ya sheria kandamazi! Labda kuna kitu hujui! Iko hivi kukaa na mwanamke pamoja miezi mitatu hiyo kisheria anahesabika ni mkeo hivyo akiamua kudai chochote sheria inamlinda

Mwisho sielewi hata kama unajua kwa usahihi wake tafsiri ya neno mipasho, msiyatumie tu maneno ili kujifurahisha yatumieni katika tafsiri yake sahihi, huo ndio weledi wa lugha na mijadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…