Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mshkaji wangu mmoja tulikuwa tunakaa naye vikao mara kwa mara, sasa majuzikati kajichanganya akaoa! Hivi sasa kila weekend lazima aje kwangu anipe sim niongee na mke wake nimuombee ruhusa!!!
Nimemwambia weekend hii ndo mwisho atafute njia nyingine ya kutoka kwake au atulie na familia yake aenjoy (kama mnavyodanganyana) maana ndo maisha aliyochagua.
 
Ndoa imekuja kuvurugwa na wanawake wenyewe kutaka hamsini kwa hamsini(fifty fifty) kwenye kila jambo..

Halafu hapo hapo sheria zinawapendelea sana wao na kuwapa favouritism.

Sheria za Ndoa ziko kumsapoti Mwanamke zaidi kuliko mwanaume, Mwanaume yeye anabanwa na hizi sheria.

Mambo ya feminism, women empowerment, Haki sawa kwa wote..Yanawapa Ujasiri wanawake na kuwajengea imani kwamba sasa wana uwezo wa kuwa control wanaume na sheria zika wa favour wao..

Wazee na Mababu zetu walimudu ndoa kwa vile walitumia Mfumo Dume..

Sasa kwa hiki Kizazi cha sasa cha wanawake wenye kutaka "Fifty Fifty" watasubiri sana......

Ili vijana wakubali ndoa lazima "mfumo dume" uendelee kama kwa wazee wetu na sheria za ndoa zisi mnufaishe sana Mwanamke....
Mambo ya Beijing hayo. Wenyewe walisema "fifty fifty by twenty twenty" 50 kwa 50 by 2020.
beijing-640x428.jpg
 
Huu uzi mshana umeandika kwa jazba kidogo, matokeo yake umeshindwa kuweka hoja mathubuti kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wa ndoa

Huu uzi mshana umeandika kwa jazba kidogo, matokeo yake umeshindwa kuweka hoja mathubuti kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wa ndoa, umeweka zaidi vijembe.
Rejea kichwa cha habari tafadhali.. Muktadha ulikuwa ni kuweka ama kutaja makundi na sio kufanya uchambuzi
 
Huu uzi mshana umeandika kwa jazba kidogo, matokeo yake umeshindwa kuweka hoja mathubuti kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wa ndoa

Huu uzi mshana umeandika kwa jazba kidogo, matokeo yake umeshindwa kuweka hoja mathubuti kuelimisha vijana kuhusu umuhimu wa ndoa, umeweka zaidi vijembe.
Rejea kichwa cha habari tafadhali.. Muktadha ulikuwa ni kuweka ama kutaja makundi na sio kufanya uchambuzi
 
Mm naomba nisaidie namba ya mganga yoyote anaeweza kuleta utajiri au anaeweza kunisaidia biashara iwe ina wateja sana au niwe na nyota ya hela msaada tafadhar awe anatokea maeneo ya tunduma,mbeya,igawa,makambako sanasana hayo maeneo ila hata akiwa kwingne sawa tu.
 
kama muktadha ilikuwa ni kuyataja makundi,basi hujayataja ipasavyo,
wengi ambao wanapinga ndoa sio Mashoga kama ulivyotaja hapo juu,

kundi kubwa ambalo linakataa ndoa ni lile linalopinga kuhusu sheria zinavyowabeba wanawake na kuwakandamiza wanaume,

mkuu kubali tu umeandika kwa mipasho sana bila kuzingatia weledi katika mada husika
Nimetaja makundi saba la mashoga ni mojawapo na sijaliweka no moja mbona umelikomalia hilo?
Si kweli kwamba kampeni ya kataa ndoa ni kwasababu ya sheria kandamazi! Labda kuna kitu hujui! Iko hivi kukaa na mwanamke pamoja miezi mitatu hiyo kisheria anahesabika ni mkeo hivyo akiamua kudai chochote sheria inamlinda

Mwisho sielewi hata kama unajua kwa usahihi wake tafsiri ya neno mipasho, msiyatumie tu maneno ili kujifurahisha yatumieni katika tafsiri yake sahihi, huo ndio weledi wa lugha na mijadala
 
Back
Top Bottom