DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mliooa hamtaki kusikia ukweli, hilo janga ni lenu pambaneni nalo.Story ya kutunga hii.
Acha uongo uwende mbinguni.
Kuna mshkaji wangu mmoja tulikuwa tunakaa naye vikao mara kwa mara, sasa majuzikati kajichanganya akaoa! Hivi sasa kila weekend lazima aje kwangu anipe sim niongee na mke wake nimuombee ruhusa!!!
Nimemwambia weekend hii ndo mwisho atafute njia nyingine ya kutoka kwake au atulie na familia yake aenjoy (kama mnavyodanganyana) maana ndo maisha aliyochagua.
Kwa hii definition basi watu wengi wapo kwenye ndoaNdoa ni muunganiko wa mwanamke na mwanaume kuishi pamoja kama mke na mume.
Mambo ya Beijing hayo. Wenyewe walisema "fifty fifty by twenty twenty" 50 kwa 50 by 2020.Ndoa imekuja kuvurugwa na wanawake wenyewe kutaka hamsini kwa hamsini(fifty fifty) kwenye kila jambo..
Halafu hapo hapo sheria zinawapendelea sana wao na kuwapa favouritism.
Sheria za Ndoa ziko kumsapoti Mwanamke zaidi kuliko mwanaume, Mwanaume yeye anabanwa na hizi sheria.
Mambo ya feminism, women empowerment, Haki sawa kwa wote..Yanawapa Ujasiri wanawake na kuwajengea imani kwamba sasa wana uwezo wa kuwa control wanaume na sheria zika wa favour wao..
Wazee na Mababu zetu walimudu ndoa kwa vile walitumia Mfumo Dume..
Sasa kwa hiki Kizazi cha sasa cha wanawake wenye kutaka "Fifty Fifty" watasubiri sana......
Ili vijana wakubali ndoa lazima "mfumo dume" uendelee kama kwa wazee wetu na sheria za ndoa zisi mnufaishe sana Mwanamke....
Rejea kichwa cha habari tafadhali.. Muktadha ulikuwa ni kuweka ama kutaja makundi na sio kufanya uchambuzi
Rejea kichwa cha habari tafadhali.. Muktadha ulikuwa ni kuweka ama kutaja makundi na sio kufanya uchambuzi
Dini ya uislamuDini ipi hiyo unayoizungumzia!? Kuna dini nyingi sana duniani.
MSIBA MKUBWA SANA!Daaah Dingi kaumia sanaaa, halafu haya mambo yananzaga Utani tu . Sasa watu now days ,Ukiwa shoga au Transgender wanakuona SHUJAAA, jamiiii imekuwaje..?
Wakataa ndoa
View attachment 2511993
Hao lazima Mambo yaende kombo, uke wenza mchezo wanawake zao hawawezi ya kuolewa uke wenza yataka Moyo hasamKataa ndoa cc: Queen Mwaka ; Juma Juma Mwaka , Manara
Nimetaja makundi saba la mashoga ni mojawapo na sijaliweka no moja mbona umelikomalia hilo?kama muktadha ilikuwa ni kuyataja makundi,basi hujayataja ipasavyo,
wengi ambao wanapinga ndoa sio Mashoga kama ulivyotaja hapo juu,
kundi kubwa ambalo linakataa ndoa ni lile linalopinga kuhusu sheria zinavyowabeba wanawake na kuwakandamiza wanaume,
mkuu kubali tu umeandika kwa mipasho sana bila kuzingatia weledi katika mada husika