Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Sayngay
 
Tofauti ya ubongo wako na kinyesi n joto
 
Jamaa wenzako kichwani wana akili wewe una mavi.
 
We ni muoga unaogopa uongozi husika uliopo unakalia kuisema maiti mitanzania mioga sana aisee🤣🤣🤣🤣
Nafikiri hujui kusoma kwa ufahamu.

Ungekuwa unajua kusoma kwa ufahamu ungetambua "cause-effect" ya hili tatizo imeanzia wapi na walioleta matatizo hawawezi kuwa sehemu ya kutatua bali inahitajika watu wapya kabisa.

Ni sawa na kusema watu wamewasha moto halafu watu hao hao wakaenda tena kuchukua petrol kumwaga kwenye moto hapo watakuwa hawazimi moto bali wanauchochea .

Kwa mtindo huo siwezi kuendelea kufanya mjadala na wewe sababu hauelewi hata nilichoongelea tangu mwanzo wa bandiko hili.
 
Nadhani inahitajika wananchi tufanye maamuzi magumu.
Rostam na vinara wa MTANDAO ndani ya CCM wanalindwa kwa gharama zozote.

Mkumbuke Lissu ameshtakiwa uhaini baada ya kuelezea umma kuhusu ufisadi wa Rostam.

Hawa TCRA wanajifanya ndiyo miungu wa masikio na fahamu zetu.

wananchi tusikubali huu upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…