Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Heche anapiga Kodi za watanzania kwani anafanya kazi serikaliniKwasababu jamaa wanapiga na Heche naye ni halali kupiga sasa Mageuzi ya nini si bora tuendelee na hawa hawawashakula sana wameanza kushiba.
Ushahidi wa kunyonya uko wapiNa mimi na shangaa hapa sasa kama tone tone wanalinyonya wakipewa nchi si watakuwa kama hawa tu?
Hizi sio za leo na hakuna aliyepoteza kazi ndio muelewe hiyo bank yenu na madudu yake. Hiyo bank statement ilitolewa kwenye vuguvugu la uchaguzi.Nje ya mada kidogo
Kuna watu hapo Bank watapoteza kazi
Ni kawaida ya watu wenye akili ndogo wasiofikiri na wasiojua mipaka ya mambo, mfano mdogo tu wanaoshambulia elimu za viongozi wa upinzani, tuwakumbushe elimu ya mkulu 😂Aliyeshauri kuibua ishu ya Heche ya 20 ml hakufikiri sawasawa, unamshambulia mwenye sh 100 alafu wewe una sh 100,000 tena zenye utata mkubwa
Hii ndio point ya msingi ambayo huwa wanaikwepa kwa nguvu zote.Ungeweka ushahidi kwamba huyo mwenye kidogo ni mwizi ingeleta maana.Unaweka shutuma tu bila hata ushahidi kuthibitisha!?
💯 🔥 🔥 🔥Najaribu kufikiri una point gani hapa. Je, unaamini kwa moyo wako kwamba Heche nae ni fisadi? Btw, mimi najua ufisadi, in this contet, ni wizi wa mali ya umma. Hata fedha na mali za Chadema ni mali ya umma. Kwa jinsi ambavyo ccm wanahangaika na Lissu, Heche na chadema kwa jumla, ingekuwa kweli Heche amefanya ufisadi hata wa senti moja, sijui angekuwa wapi muda huu. Maama tunajua polisi ni ya ccm, mahakama ni ya ccm, takukuru ni ya ccm, tiss ni ya ccm ... Shit!
Litajibiwaje wakati hamtaki uchunguzi ufanyike?
Uchunguzi ndio ungeweka wazi sababu ya yeye kuwekewa pesa hizo. Hata hao aliowataja Mange nao ilitakiwa wachunguzwe ndio ithibitishwe kuwa ni pesa haramu.
Amandla...
Au sio.. watu kama nyie ni wepesi sana kuingiziwaWote wapenda haki full stop ! Mbwa wewe
Kama ulivyoingiziwa wewe na wasirraAu sio.. watu kama nyie ni wepesi sana kuingiziwa
Hakuna mtu aliyesema kuwa Heche ameajiriwa na serikali. Na ufisadi hauhusu wafanyakazi wa serikali peke yake. Ufisadi ni matumizi ya nafasi uliyonayo ( ya serikali au kuaminiwa) kwa faida yako binafsi. Kama Heche alipewa pesa na mtu au taasisi kwa ajili ya halafu yeye akazitumia kwa faida yake mwenyewe atakuwa fisadi. Si kitu cha kushangaza watu kuchangia chama cha siasa kwa njia ya kificho. Ishu sio Heche kuwekewa pesa kwenye akaunti yake. ishu ni nini lilikuwa lengo la hizo pesa. Heche hawezi kuitwa fisadi kama zilikuwa mchango wa harusi, mkopo wa kibiashara, mgao wake katika biashara n.k. Ila kama lengo lilikuwa ni kuchangia chama na hakufanya hivyo, atastahili kuitwa fisadi. Wenye majibu katika hili suala ni Heche na/au Chadema. Ukimya wao hauna tija kwa Heche au Chadema.Heche ni mfanyakazi wa serikali kitengo gani ??
Na waliomuwekea Hela hawajui akaunt ya chama
AhaaTibaijuka ni mwanachama wa chadema kadi namba ngapi
Hapana ila Camilius Wambura ni CHADEMA ndo mana kaweka statement yakeNi mwanachama wa chadema au ccm
Sijawahi kuwa mwanachama wa Chadema.Sir, nani huyo hataki uchunguzi ufanyike? You are no longer mwana CHADEMA, hii la kukataa uchunguzi ufanyike liliongelewa katika kikao kipi cha chama?
Mnyika amesema tu kuwa Heche hana access na akaunti za Chadema wakati shutuma zinahusu akaunti binafsi ya Heche. Kwa sababu ni akaunti yake binafsi mwenye majibu ni Heche, sio Mnyika. Mnyika angeweza kusema: 1) Heche huwa anachangiwa na watu kwa niaba ya chama na pesa zote alizochangiwa ameziingiza kwenye akaunti ya Chadema.2) Pesa zinazozungumziwa ni za Heche na hazina uhusiano wowote na Chadeam. Mchezo ungeisha na upepo ungetolewa kwenye hizo shutuma. Kigugumizi chao ndio kinachochea moto kitu ambacho kwa kweli hakikupaswa kujadiliwa kiasi hiki.Kuhusu tonetone Mnyika ameshatolea ufafanuzi kwenye press.
HahahaAsante sana. Ss tugawanye kwa bil 24 tunapata ngapi vile.
Unajua waandishi wa zamani walisema vizuri sana, kuna ufisadi ulitokeaga lile gazeti ilieleza kwa urahisi sana ule ufisadi.
Ilisema ukizipanga hizo pesa toka Dar zinafika songea au mbeya.
Watu walidata sana aiseee.
Boss suala la hii statement zilitetemesha instagram, Serikali iliingilia kati account za mange zikapigwa chini, Kulikuwa na receipt ya abduli ya TRA ya kulipia vifaa vya ujenzi ilifutwa insta, ikachomolewa hadi kwenye mifumo ya TRA.Good. Kwakuwa tumeshaikubaliana kuwa hiyo ni loan. Basi tunaenda vema.
Kwenye loan naomba wataalamu wa biashara waje kutupa mwongozo mzuri zaidi.
Lakini, jua kuwa si watumishi wote wanategemea mishahara. Mikopo ina mambo mengi kuliko unavyodhani. Kwahiyo kuweka akili kuwa amepata mkopo sababu ya ufisadi, sioni kama hiyo ni hekima, labda kama utalazimisha tuwe tunafanya maamuzi kwa mihemko.
Pia, angalia lengo la mpachaji wa iyo statement, motive behind. Ameficha kwa kukunja kunja sehemu inayoonesha kuwa iyo ni fedha ya mkopo badala ya kuweka wazi kabisa.
Pili, Statement haina muhuri au proof of authenticity, tuseme bas amefanya hivyo kutetea ugali wake, lakini je, wakiprint statement yenye jina lako wakaweka 2b, statement ambayo haina muhuri tutasema ni kweli una hizo ela?
Hata kama tunataka kukomboa nchi yetu, sio kwa kusingiziana na kuamini kila tunachokiona kwa mitandao. Leo amewekwa huyo. Kesho watatengeneza picha uko na mke wa mtu..na sisi tuamini bila kuthibitisha?
Kulikuwa na shutuma tofauti tofauti, ya kwanza ya Heche anatumia/anakula pesa za tonetone ndipo mnyika akalitolea ufafanizi, kwanini mnyika? Jibu unalo.Sijawahi kuwa mwanachama wa Chadema.
Mnyika amesema tu kuwa Heche hana access na akaunti za Chadema wakati shutuma zinahusu akaunti binafsi ya Heche.
Hizi zilikuwa ni tuhuma namba 2, Pesa ni za Heche, account ni ya Heche, Wewe, katuga na wengine hamjawahi kuthibitisha kuwa pesa hizo zimetokana na ufisadi, mmeibua hoja za kuwapa watu uwanja wa kumshambulia Heche. Serikali ina mikono ya kila aina kuweza kuthibitisha Heche amefanya ufisadi/ameingiziwa fedha haramu…!Kwa sababu ni akaunti yake binafsi mwenye majibu ni Heche, sio Mnyika. Mnyika angeweza kusema: 1) Heche huwa anachangiwa na watu kwa niaba ya chama na pesa zote alizochangiwa ameziingiza kwenye akaunti ya Chadema.2) Pesa zinazozungumziwa ni za Heche na hazina uhusiano wowote na Chadeam.
Mchezo ungeisha na upepo ungetolewa kwenye hizo shutuma. Kigugumizi chao ndio kinachochea moto kitu ambacho kwa kweli hakikupaswa kujadiliwa kiasi hiki.
Amandla...
Ni mengi ya kushangaza, hebu angalia kazi aliyopewa Mwaipopo, alafu unayakuta yanafanyiwa nukuu kwenye mahakama au kwenye hotubaNi kawaida ya watu wenye akili ndogo wasiofikiri na wasiojua mipaka ya mambo, mfano mdogo tu wanaoshambulia elimu za viongozi wa upinzani, tuwakumbushe elimu ya mkulu 😂