Hii statement ya kuwa " kwa kuwa hawako jikoni" ndio shida inathibitisha kuwa jikoni watu wanashiba mafuta haipingi wizi ila inathibitisha shida nikuwa wale wanaowaona wana wivu ndio maana yake
 
Account apate wapi wakati anaishi kwa Songesha na Bustisha?
 
Ukienda bank kuomba bank statements,unaomba kwa teller's au kwa manager wa bank?
 
Bilioni 30 sio mchezo mzee kwa mtumishi
Kama amewekeza kwenye kilimo pesa ambazo alikopa bank kupitia mshahara wake, billion 30 anaweza kuwanayo simple tu!
Mimi kabla ya kupata anguko kubwa la kiuchumi! Nilikuwa nanunua mazao then baadae nayauza,ndani ya miaka minne tu nilipata kama milioni mia na 50! ila magu alitufilisi! Kumbuka mtaji wetu ulikuwa mdogo,
Sasa kwa level ya mtu kama IGP kuwa na pesa iyo ni kawaida sana kama amewekeza kwenye kilimo au biashara zingine mkuu.
billion 30 ni hela ya kawaida kwa mtu ambae yupo kwenye biashara either ya kilimo au real estate.
 
Oooh. Pole
 
Kwa hali hii lazima waendelee kuua ili watawale milele,,
 
Heche ni mfanyakazi wa serikali kitengo gani ??
Na waliomuwekea Hela hawajui akaunt ya chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…