Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Pole sana mkuu, na wewe kwanini ulimwambia atafute mtu mwingine au alikuwa ana red flags nyingi?
 
Nihonge mkinga? 😹
Tafuta pesa inasaidia kuona mapenzi km burudani sio mateso..!!
Nikataka nishangae eboooπŸ˜‚πŸ˜‚ hapa ndiyo nipo nazitafuta, mapenzi ndiyo nishayafuta tena, nikija kuzipata mimi ndiyo ntakayekuwa nachagua wa kuwa naye
 
Huko umefika mbali mkuu
 
Bro hadi magoti ulipiga, pole sana.
 
Bro hadi magoti ulipiga, pole sana.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
MKuu hakuna kitu sikufanya kuinusuru familia. Hakipo. Imagine magoti mbele za watu..
Nakumbuka mwenyekit wa Baraza yule manzi akasema "aisee wewe (akamtaja jina ex yf) huyu kaka mbona anakupenda namna hii , kwan kakufanya nini mpaka mkafika hapa? Maana katika madai yako yooote tuwe wakwel hKuna la maana kukufanya upewe form no.3 ya kufungua shauri la kuvunja ndoa!. Wewe tuambie tu kama kuna mtu wa tatu kaingia hapo kati ndio anakuvuruga.πŸ˜‚
 
Ila mwamba kaondoka na dignity πŸ‘ huoni mpaka umekuja kumfungulia uzi? Angekulilia ungekubali ila ungemdharau kuanzia hapo.
Huyu ni jeuri, naona ina msumbua sidhani kama atapata mwanamke atayemvumilia kama mimi
 
  • Nimeshagundua maisha ni mafupi.
  • Nimeshagundua mim niwasamani, inabidi nijipende niwe na furaha yangu nasio kutoka kwa mtu.
- Nimejifunza kutokana na maumivu yaliyo pita.

Nastakuja kuumia tena kamwe wala kung'ang'ania mtu alienichoka.
Huwa tunaumia mara moja tunapata funzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…