Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Shamba la Bwana ndo kutoa matamko dhidi ya mipango ya Serikali ya maendeleo inayopanga kwa faida za wananchi wake?
Je wangekubaliana na mkataba huo ungeendelea kukosa usingizi na kukesha kushangilia?
 
Mambo ya shughuli za Serikali inazofanya kwa maendeleo ya wananchi wake wao yanawahusu nini?

Dini zibaki kujihusisha na mambo yao. Ndo mana kwa walioweza kuwabana hawa wanafanikiwa. Angalia Rwanda na China
 
Kwa hiyo Taifa linapoingia majaribuni wanapaswa kuufyata?
 
Taifa limeingiaje majaribuni? Wakati magufuli anavunja mikataba ambayo leo inatufanya tulipe mahela kwa kesi tunazoshtakiwa huko waliwahi kutoa waraka kwa magufuli kusema asivunje mikataba?

Wakati Tundu Lissu kapigwa risasi uliwahi kusikia sauti zao hadi saivi amekuwa mlemavu wa kudumu?
 
Ni resourceful person
Mfuatilie kwanza acha kutafuta ubishi usio na maana
Resourceful according to who? Unajua alishauri nchi kuanzisha mfumo wa mabaraza ya ardhi ambao ndo umesababisha kuongezeka kwa migogoro ya ardhi nchini? How can you convince me that he is resourceful?
 
Taifa limeingiaje majaribuni? Wakati magufuli anavunja mikataba ambayo leo inatufanya tulipe mahela kwa kesi tunazoshtakiwa huko waliwahi kutoa waraka kwa magufuli kusema asivunje mikataba?

Wakati Tundu Lissu kapigwa risasi uliwahi kusikia sauti zao hadi saivi amekuwa mlemavu wa kudumu?
Kalale .kuu.
Kesho ni siku.

Naona unadanda danda na vioja badala ya kunata na hoja
 
Udini kitu kibaya sana sikuwahi kuamini kuwa dini zililetwa na wenzetu ili warutawale, Sasa ndio nazidi kuamini. Yaan yupo anayepinga tu kwa Sababu ni mkristo na yupo anaye support kwa Sababu ni muislam. Sasa waulize huo mkataba ninyi kama ninyi mshausoma na kuuelewa? Zaidi tunasikia.
 
Resourceful according to who? Unajua alishauri nchi kuanzisha mfumo wa mabaraza ya ardhi ambao ndo umesababisha kuongezeka kwa migogoro ya ardhi nchini? How can you convince me that he is resourceful?
Uwe unaona aibu basi...
 
Viongozi wa serikali hawajatoa uhuru wa kujadili kivipi?

Uliwahi kusikia Kanisa Katoliki linasema tubaki na mfumo wa Chama Kimoja maana sauti ya watu ni ya Mungu? Au hujui kuwa watanzania kwa wingi tena kwa takwimu za uhakika walikataa mfumo wa vyama vingi?

Serikali ikifanya maamuzi ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi na hadi leo hakuna anayetaka kuwaza kuwa ulikataliwa na watu wengi na sauti ya watu ni sauti ya Mungu
Mtu anaweza kutoa MAONI fulani kutokana na kutokujua( ignorance). Wananchi walitoa MAONI hayo Kwasababu walifikiri kuwa
(1)viongozi wote wa SERIKALI wana nia njema ( lakini uhalisia siyo hivyo).
(2) Kutokuwa na elimu ya kutosha juu ya mfumo wa vyama vingi( ilikuwa inatangazwa kuwa vyama vingi vingeleta vita.)
(3) Propaganda za CCM za wakati huo( walikuwa wanatangaza kwenye majukwaa kuwa vyama vingi vitaleta vita)
(4) Kutowaambia wananchi faida za vyama vingi na HASARA ZAKE na FAIDA za chama kimoja na HASARA ZAKE( Hivyo baadhi ya wananchi walitoa MAONI wakiwa blindly.)
Katika muktadha huo J.K.NYERERE aliwasaidia wananchi kuruhusu mfumo wa vyama vingi Kwasababu aliona tishio la maslahi ya nchi katika mfumo wa chama kimoja.
NB
Vyama vingi yalikuwa masharti ya IMF na WORLD BANK kwa nchi masikini ili zipate mikopo na misaada(ya kifedha na kitaalamu). Hivyo kwa mujibu wa wakati husika ilikuwa haikwepeki baada ya kuanguka kwa USSR.
 
Mambo ya shughuli za Serikali inazofanya kwa maendeleo ya wananchi wake wao yanawahusu nini?

Dini zibaki kujihusisha na mambo yao. Ndo mana kwa walioweza kuwabana hawa wanafanikiwa. Angalia Rwanda na China
Aoao ndiyo walimgomea Benjamin Mkapa kubinafsisha Bandari hiyohiyo
 
Udini kitu kibaya sana sikuwahi kuamini kuwa dini zililetwa na wenzetu ili warutawale, Sasa ndio nazidi kuamini. Yaan yupo anayepinga tu kwa Sababu ni mkristo na yupo anaye support kwa Sababu ni muislam. Sasa waulize huo mkataba ninyi kama ninyi mshausoma na kuuelewa? Zaidi tunasikia.
Tuwaulize nan? Baraza la Maaskofu?
 
Back
Top Bottom