Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Mwambieni aachane na hawa salama leko wakeKatiaje aibu? Mbona yuko sawa tu na anafanya vizuri tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambieni aachane na hawa salama leko wakeKatiaje aibu? Mbona yuko sawa tu na anafanya vizuri tu?
Je wangekubaliana na mkataba huo ungeendelea kukosa usingizi na kukesha kushangilia?Shamba la Bwana ndo kutoa matamko dhidi ya mipango ya Serikali ya maendeleo inayopanga kwa faida za wananchi wake?
Mambo ya shughuli za Serikali inazofanya kwa maendeleo ya wananchi wake wao yanawahusu nini?Je wangekubaliana na mkataba huo ungeendelea kukosa usingizi na kukesha kushangilia?
Huoni bado nawaelimisha wenzako kwa kujibu hoja zao humu!Kuna shida gani hata uki screenshot hicho kipande ukakiweka hapa na page yake?
Aachane nao kwa maneno ya Maaskofu? Unajua maana ya State Supremacy?Mwambieni aachane na hawa salama leko wake
Walelimisha kwa kuweka hapa hiyo sehemu ya hukumu wala sio shidaHuoni bado nawaelimisha wenzako kwa kujibu hoja zao humu!
Kwa hiyo Taifa linapoingia majaribuni wanapaswa kuufyata?Mambo ya shughuli za Serikali inazofanya kwa maendeleo ya wananchi wake wao yanawahusu nini?
Dini zibaki kujihusisha na mambo yao. Ndo mana kwa walioweza kuwabana hawa wanafanikiwa. Angalia Rwanda na China
Mfuatilie Profesa Shivji ameeleza vizuri sanaVifungu vipi vina shida? Vina shida gani?
Kwa hiyo Prof Shivji ndo msahafu?Mfuatilie Profesa Shivji ameeleza vizuri sana
Ni resourceful personKwa hiyo Prof Shivji ndo msahafu?
Taifa limeingiaje majaribuni? Wakati magufuli anavunja mikataba ambayo leo inatufanya tulipe mahela kwa kesi tunazoshtakiwa huko waliwahi kutoa waraka kwa magufuli kusema asivunje mikataba?Kwa hiyo Taifa linapoingia majaribuni wanapaswa kuufyata?
Resourceful according to who? Unajua alishauri nchi kuanzisha mfumo wa mabaraza ya ardhi ambao ndo umesababisha kuongezeka kwa migogoro ya ardhi nchini? How can you convince me that he is resourceful?Ni resourceful person
Mfuatilie kwanza acha kutafuta ubishi usio na maana
Kalale .kuu.Taifa limeingiaje majaribuni? Wakati magufuli anavunja mikataba ambayo leo inatufanya tulipe mahela kwa kesi tunazoshtakiwa huko waliwahi kutoa waraka kwa magufuli kusema asivunje mikataba?
Wakati Tundu Lissu kapigwa risasi uliwahi kusikia sauti zao hadi saivi amekuwa mlemavu wa kudumu?
Jibu maswali!Kalale .kuu.
Kesho ni siku.
Naona unadanda danda na vioja badala ya kunata na hoja
Uwe unaona aibu basi...Resourceful according to who? Unajua alishauri nchi kuanzisha mfumo wa mabaraza ya ardhi ambao ndo umesababisha kuongezeka kwa migogoro ya ardhi nchini? How can you convince me that he is resourceful?
Mtu anaweza kutoa MAONI fulani kutokana na kutokujua( ignorance). Wananchi walitoa MAONI hayo Kwasababu walifikiri kuwaViongozi wa serikali hawajatoa uhuru wa kujadili kivipi?
Uliwahi kusikia Kanisa Katoliki linasema tubaki na mfumo wa Chama Kimoja maana sauti ya watu ni ya Mungu? Au hujui kuwa watanzania kwa wingi tena kwa takwimu za uhakika walikataa mfumo wa vyama vingi?
Serikali ikifanya maamuzi ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi na hadi leo hakuna anayetaka kuwaza kuwa ulikataliwa na watu wengi na sauti ya watu ni sauti ya Mungu
Acha kikimbia. Tatizo unadhani unajibishana na maamuma hapa. Umekutana na kipanga mwenye data za kutosha . Jibu maswali hayoUwe unaona aibu basi...
Aoao ndiyo walimgomea Benjamin Mkapa kubinafsisha Bandari hiyohiyoMambo ya shughuli za Serikali inazofanya kwa maendeleo ya wananchi wake wao yanawahusu nini?
Dini zibaki kujihusisha na mambo yao. Ndo mana kwa walioweza kuwabana hawa wanafanikiwa. Angalia Rwanda na China
Tuwaulize nan? Baraza la Maaskofu?Udini kitu kibaya sana sikuwahi kuamini kuwa dini zililetwa na wenzetu ili warutawale, Sasa ndio nazidi kuamini. Yaan yupo anayepinga tu kwa Sababu ni mkristo na yupo anaye support kwa Sababu ni muislam. Sasa waulize huo mkataba ninyi kama ninyi mshausoma na kuuelewa? Zaidi tunasikia.