Bora kwa nani?Kumjengea Baba Yako nyumba kama watu wa Kaskazini wa Arusha na Kilimanjaro wanavyofanya huko vijijini kwao na kwenda kuhonga Malaya Kila siku mamilioni kipi Bora?
Ujinga ni kujipachika katika familia ya watu usiyoijua na kuanza kuipangia maisha na kui judge.Tusilee huu ujinga
Hiyo hali ikitokea msiba lazima uogope. Yaani huku mjini mtu unaonekana wa maana, una marafiki wazito wazito. Halafu umefiwa, wadau wanaenda nyumbani kwenu wanakuta vumbi vumbi tu hakutamaniki. Mfano nyumba mbavu za mbwa kama hivo. Mtu lazima ujisikie aibu kuu!
Nabaki kusema: hakuna utetezi wa kutokujengea wazazi.
Aibu kivipi wakati ndio uwezo wa wazazi wangu? Huko ni kwa wazazi wangu na sio kwangu ninapoishi.
Narudia tena
Utamaduni wa kupenda makwao tuwaachie watu wa KILIMANJARO!
Mikoa mingine karibia yote ni majanga!
Unaweza kuta Wazazi wanakaa nyumba imechoka, hawana maji, umeme nk huku vijana wana tanua mjini
kamjengea jojo, inatosha...
Kweli kabisa kabisa...Halafu anajikuta CCM kindakindaki kwa kuchangia Mamilioni ya Fedha kumbe Dingi Hana Makazi Bora, jamaa ni mshamba Sana nimemdharau Sana
Kwenye Biblia imeandikwa Bwana anaadhibu mpaka kizazi cha nne hata cha tano. Upo sahihi. Ukifanya madhambi inakula mpaka kizazi chakoMI siwalaumu kabisa wengine kwao walsmishaandikiwa hawatajenga na wakijpambana hawatamaliza huo ujenzi
Ndioo maana nasisitiza na mwakasege anasisitizaa ukiwa na familiaaaa kataa mizizi yenu na ukoo wenu taja vizazi na vizaziii.....
Kataa laana mateso ya ukoo aliyopitia Baba na mamako na mababu zakoo else lazima kiumane shehe
Altazaaaaa
Hii habari imepotoshwa Kwa 💯.
Maisha ya Mzee Ngajilo sisi tunaoyajua hatuwezi kuwalaumu Freddy Wala Fadhili.
Marehemu alikuwa mtu anayeishi maisha ya kutosheka na siyo kutamani yasiyo yake.
Halafu ushamba wa kuisema ile nyumba aliyokuwa anaishi unatokana na nini? Nyumba iliyojengwa miaka ya 70 ambayo Bado Iko imara mlitaka iweje?
Na anakokwenda kuzikwa ni shambani kwake na hakukuwa ni makazi yake. Sasa mlitaka shambani kuwe na nyumba isiyokaliwa ili mkija kuzika msifie?
Hawa kina Troll JF ndiyo wanaoeneza huu uzushi.
Mzee alikuwa hataki kumtegemea mtu na wala nyumba yake siyo dhalili kama wanavyotaka hao wasimangaji ionekane.
Miaka yake ya mwisho alikuwa mlokole na ameacha nyumba kadhaa hapa mjini na hekari za kutosha za mashamba.
Mtu aliyekuwa anamiliki "Sisi Kwa sisi Guest House" miaka ya themanini unawezaje kusema kafa kimaskini?
Timu zote zilizokuwa zinakuja kucheza mechi hapa kwenye uwanja wa Samora zimeshawahi kulala kwenye guest yake hiyo.
Watu hawana uwezo wa kufanya hayo wanakwepa majukumu yao hakuna kingine mtu mwenye pesa hawezi kufikiri kujenga nyumba.
Nenda Instagram ya Manara TV utaikutaTuwekeeni picha wadai wengine tuko mtwara mambo ya iringa na huku wapi na wapi
Wanaenda Nyumba za Babu zao na ni mabanda tu.Sasa hii habari ni ya uongo. Na huko Kilimanjaro siyo kila mtu kajenga... Hizi ni habari za vijiweni?
Kwanza kujenga ni upumbavu tuHUWEZI ukawa unatutambia Mjini wewe Bilionea na unahonga makahaba, halafu Dingi hujaweka makazi yake vizuri, karibu kwetu huku Machame nikuoneshe mahekalu ya real Bilionea ambao ni low profile uone walivyojenga nyumba za baba zao mashambani baada ya hapo nitakupeleka kwa Mzee Mengi ukaone Hekalu lake lililopo kijijini. Hao ndiyo real Bilionea siyo kutusumbua Mjini kwa kuhonga honga machangudoa na vitoto vya Chuo, chini ya kapeti huyo Bilionea wenu inasemekana keshaunganishwa kwenye gridi ya Taifa hayo ndiyo yanayojiri msibani
Nadhani mda huu umelala nje ukipigwa na baridi sio?Kwanza kujenga ni upumbavu tu
Sasa huyo Mengi unamsifia kujenga jumba huko porini yeye mwenyewe yupo wapi muda huu?
Yote ni ubatili tu na kujilisha upepo
Umenipa tabu kusoma mkuuMKUU NAOMBA NIKUJUZE USITAKE KAMWE MAISHA YA TAJIRI UUJUI MASHARTI ANAYOISHI
MATAJIRI WENGI WANAISHI MAISHA MTESEKO MKUU ASIKWAMBIE.MTU
JUN NIKIENDA KUZIKA TAJIRI MKUBWA TU PALE TANGA ANA BIASHARA ZA KUTOSHA
JUFIKA KOROGWE NANGALIA MBELE MBONA TUMESIMAMA ULIZA WHY
PEMBEN KUNA NYUMBA YA UDONGO NDOGO KABISA
KUKIA KUNA MSINGI WA VYUMBA 7 UNA UKUNGU UMEISHIA DIRISHAN
PEMBEN YAKE MSINGI WA VYUMBA 5 NA SEBULE NK IMEISHIA CHINI HUU HATA DIRISHAN HAIKUFIKA
NKAONA MZEE ANASHUSHWA ANAINGIZWA KWENYE NYUMAMBA YA UDONGO
AISEE N AIBU UNAJUA WAKIOINGIA HAAAKUZIDI 7 WAKAOMBA TUKAE NJE KUMEJAA DAH AISEE
WALIPOTOKA NKAOMBA NIINGIE KUANGALIA ALIPOWEKWA NAINGIA CHUMBAN KWAKE NAINAMA MKUU YAAN MITI NAIONA ILE NIKISMAMA
WATU WALICHINJA MBUZI ZA MAANA..BAADA YA KUULIZA NDUGU NDIPO NKAMWOMBA MUNGU NISIWAHI KUTAMAN MAISHA YA MTU KAMWE NA UTAJIRI WAKE
MMOJA WA NDUGU AKASEMA KESHO YAKE INAONA ILE MSINGI..MMOJA ALIJENGA AKAISHIA DIRISHAN ALIPAYA AJALI MBAYA KARIBU KUFA......
AKARUDI NAFIKIRI AKASHAURIWA KULE KUACHE WEKA MSINGI MWINGINE PANDIAHA HAKUNA WA KUKUGUSA
TAJIRI ALIPOFIKA TU MSINGI KISUKARI.PRESSURE..UTI.KISONONON YAAN MAGONJWA HATARISHI YOTE AJAYABEBAA...
AKAPAMBANA ANAKOPAMBANA AKATOBOA AKAWA SAWA... ANAJIPANGA AKAPANDISHE IKATUMWA KANSA YA HATAREEE ISIYONA MAELEZO WALA USHIRIKIANO.......
WIKI KADHAA ATULO NAEE..