Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Sifa ya uanaume kamili unakuwa umeipoteza, ingawa kwa nje utakuwa unapata sifa ila moyoni unaumia, kwa sababu huna cha kumfanya mkeo ata akunyime tendo au kuchepuka.Kwani mkiishi bila kuunguruma
Mnapungukiwa nini?
Kwamba mlioana ili muungurumiane?
Ili iweje?Oeni hao hao wa kishua
Sahihi Lakini kwanini Sonko aende pale na Camera? What was his motive behind going with cameraman?Lakini Yule jamaa alimpiga sana mke wake,
Kwanini ampige mkewe lakini.
Na Mkwe aliwafokea sana wale mabaunsa kumpiga Jamaa.
Mimi naona upigwe tu maana sasa hakuna namna.Walishajaribu kunivamia home siku moja nilimbonda makofi dada yao wakaniandikia family notes tukikutana town kila mtu na hamsini zake.
Sidhani kama ni Baba Mkwe mwenyewe aliyepostSahihi Lakini kwanini Sonko aende pale na Camera? What was his motive behind going with cameraman?
Hata yule dada alifoka Fulani wale mabaunsa kumpiga mumewe
If Sonko had a good motive behind that matter he wouldn't have gone with cameraman to record the incident and post it on social media
That was an insult to his in-law
Mnavuruga wadogo zenu Sasa.Sifa ya uanaume kamili unakuwa umeipoteza, ingawa kwa nje utakuwa unapata sifa ila moyoni unaumia, kwa sababu huna cha kumfanya mkeo ata akunyime tendo au kuchepuka.
Maisha ni kuchaguaMnavuruga wadogo zenu Sasa.
Hapa washike lipi?
Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
Sasa mbona mimi wangu ana Masters tena ya Uuguzi na Ukunga mimi hata Certificate tu sina nilikula kona na maarifa nimemzidi parefu sanaUkioa kwenye hela na wewe huna hela au status, lazima utaonekana kolo ukweni. Na wao wataona sio hadhi yao, au umekuja kutaka kitonga.
Ni sawa uoe familia watu wamebukua. π
Wanakuona MEMKWA tuu.
Kuna kitu unakitafuta, jina lake linafanana na kampuni moja iko njia ya kwenda Kurasini kwenye daraja la juu pale.Yaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
ππππFamilia inaweza isikudharau ila mwanamke akishakuzidi mali na elimu ni ngumu sana kuji-control asikudharau. Mleta uzi jiandae kwa kichapo toka kwa kaka zake kama anao. Au hata mchepuko unaweza kukutwanga akijitambulisha kama binamu.
Toka lini umekuwa njaa Kali !!? ππSi tulikubaliana muoe mambo safi msaidiane majukumu????
Sisi njaa kali tuko bench tunasikilizia milio
πππHahahKapeleka mashtaka kwao maana upande wao na kwetu hawaelewani ishu ilianzia siku nilivyoenda kutoa mahali kuna hela ilipungua wakaona dharau lakini kwa undani walituona ni watu maskini tu so mpaka ndoa inafungwa pande mbili kama hazisomi network mke ndani hataki kufuata maelekezo yangu anataka yake mbishi ni kiburi maana amepata nafasi mahali fulani nyeti nimechungulia mshahara mkubwa ila hajaniambia sasa hii ishakuwa nongwa.
Tuko pamoja nawewe mpaka wakuue πDah mkuu ni mateso tu nishauuri nikimbie ndoa au nikaze mpaka waniue kwa stress
Yaani unawezaje kujipa ujasiri wa kuwa upo powerful ikiwa uhalisia wako hauko hivyo nilijikaza mwanzoni ila siku zinavyoenda makucha ya dharau yananitoa mchezoni. Kuna siku nilienda kwenye harusi ya ndugu yao mmoja pale hyatt tumetoka najitahidi kuwasalimu ndugu zake na wakwe wakwe wengine hata kunichangamkia hawanichangamkii wanapanda vyuma vyao wanatembea we unawezaje nikawa mtu wa kujitenga na mambo yao dharau kmmk
Hujui kama mimi njaa kali??? nitumie ten ya chap hapo nikadake kili lagerToka lini umekuwa njaa Kali !!? ππ
Unanipanga !!!Hujui kama mimi njaa kali??? nitumie ten ya chap hapo nikadake kili lager