Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
Ukidai mahari inaonesha ulikuwa una mhitaji sana huyo mwanamke, na bora kuwa umiza hisia bila kudai chochote kuonesha wewe mali zao si kitu kwao kwa sababu ndio kilichopo kichwani mwao.Hapana mahari irudishwe si wametaka wenyewe..!! Mahari irudi aiseee!!
Baba mtu kasema kama nimemchoka niombe mahari niliyoitoa irudishwe hapo umemuelewa ? Hapo hawanihigaji kuwa sehem ya familia yaoUkidai mahari inaonesha ulikuwa una mhitaji sana huyo mwanamke, na bora kuwa umiza hisia bila kudai chochote kuonesha wewe mali zao si kitu kwao kwa sababu ndio kilichopo kichwani mwao.
Bro Narudia mahari irudishwe aisee.!!Ukidai mahari inaonesha ulikuwa una mhitaji sana huyo mwanamke, na bora kuwa umiza hisia bila kudai chochote kuonesha wewe mali zao si kitu kwao kwa sababu ndio kilichopo kichwani mwao.
😀😀😀 Poor Brain ananimaindi ninemmkataa mshangazi wake aisee.Wewe ruka nae usifate ushauri, Poor brain atakuacha mbali shauri yako .
Wewe mkuu acha unyonge wao si wamekuvunjia heshima na wewe ungewavunjia heshima simpleYaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
Wakupe aiseee..!!Nashukuru maana ndio nataka nitulie siku mbili tatu niwaibukie tumalizane kama tulivyokuja
To be fair tungetaka kusikia upande wake pia kwa hili 😁, na wanaume tukinyimwa hatubaki, kubaka ni kutumia nguvu kama kupiga tuu inawezekana ulimuumiza , naanza kuona tatizo lako 🤔Hataki maagizo yangu yaani mpaka aamur yeye kufanya kutokufanya tendo la ndoa mpaka nimbake hii ndio kesi iliyotupeleka ukweni
Ndio lakini wewe unaweza kuonesha kwamba na wao huwahitaji na huna haja na kurudishiwa hela yao wala hudai. Bora huyo mwanamke aondoke zake.Kuwa masikini jeuri mzee kwa sababu wao wanaonesha kuwa hela ndio kila kitu na wanaona watatumia hela kukuendesha.Baba mtu kasema kama nimemchoka niombe mahari niliyoitoa irudishwe hapo umemuelewa ? Hapo hawanihigaji kuwa sehem ya familia yao
Huyu jamaa kakiri anambaka mke wake,anaonekana ni mtu wa hovyo tuuNdio lakini wewe unaweza kunonesha kwamba na wao huwahitaji na huna haja na kurudishiwa hela yao wala hudai. Bora huyo mwanamke aondoke zake.Kuwa masikini jeuri mzee kwa sababu wao wanaonesha kuwa hela ndio kila kitu na wanaona watatumia hela kukuendesha.
Umri wako bro au hii chai, mbona hata sisi hawa walala hoi wanatuambie tupike, na tunapika mi Kuna muda Hadi kufua nafulishwa kaka lakini si mshua huyo demuKwa hiyo mkuu mpaka kupikiwa nako nipangiwe ratiba namwambia anipikie ananiambia agiza Msosi app yeye ameshachoka na anaenda kulala hivyo si dharau hizi
Unabaka mke wako halafu unataka akupikie, huna akili weweKwa hiyo mkuu mpaka kupikiwa nako nipangiwe ratiba namwambia anipikie ananiambia agiza Msosi app yeye ameshachoka na anaenda kulala hivyo si dharau hizi
hard to believe/ngumu kumesaMilioni 8 na laki na hamsini ilipungua laki wakataka kuturudisha tulikotoka bila busara za wale wazee wangu ndoa isingekuwepo