Wazanzibari huifanya Tanganyika shamba la bibiHaifai kupuuzwa kwa Kuwa katika hili Zanzibar yenyewe haikuguswa,Hivyo tunaachaje kuugusa Uzanzibari,kwani wao hawataki manufaa yanayohubiriwa,🤔
Ama tuseme ni kigezo cha kukamilisha Uzanzibari na Utanganyika iliyoundwa ili kufanikisha azima ya siku nyingi 🤔Wazanzibari huifanya Tanganyika shamba la bibi
Sehemu ya kuchuma, kufanyia majaribio mambo kadha wa kadha, nakadhalika
Tuna muungano wa hovyo na hauna mfano wowote hapa duniani!Mzanzibari anakuwa raisi wa Tanganyika, anawaongoza watanganyika kwenye mambo ambayo hata siyo ya Muungano!. Ila kule Zenji Mtanganyika hawezi kugusa mambo ya wazenji.
Huu muungano ni jinamizi kwa Watanganyika!
Sisi tulioolewa na wazanzibar itakuaje? Serekale iingilie katiMuungano uvunjwe, na kila mtu akae sehemu yake inayo muhusu..
Tumechokaaaaaaaaaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtakua mnakutana ferry pale.Sisi tulioolewa na wazanzibar itakuaje? Serekale iingilie kati
Mpewa lift anapiga na hornKweli mali za Tanganyika zinapigwa mnada hovyo na wageni tuwe makini!
Muhimu mapato yanayotokana na Bandari yaongezeke !!Mi nadhani shida sio nani kupewa kuendesha ila ni aina ya makubaliano katika mambo yanayotunyima uwezo wa kujinasua au kutetea maslahi mapana ya nchi.
Sikulenga kitu nimeweka bayana kuwa wewe ni mbaguzi na mdini na mko wengi tu. Hamkupiga kelele bandari ya zanzibar walivyopewa wafarnsa lakini mnaanaza kutaja asili za mawaziri na raisi kana kwamba wao sio watanzania na hawana madaraka ya kufanya maamuzi yanahusu Tanzania. Dont get me wrong issue yote ya bandari inanuka uvunda lakini tatizo langu juu yako ni kuanza kulet mambo ya ukabila na udini. tuko mwaka 2023 na Tanzania bado kuna watu kama wewe ambao hamuoni watanzania wenzenu kama ni watanzania bila kujadili imani zao au wana asili ya pande gani wa tanzania.Umelenga kusema nini ?
Kwani katiba inakataza hilo?mbona wakati wa Kikwete makamu wake alitoka zanzibarHata Katie mkuu ujenzi ni m Zanzibar
Wala sio Baba wa Taifa , wakulaumiwa ni yule au wale walioikwamisha Rasimu ya Katiba ya Mzee Warioba !!kamlaumuni baba wenu wa taifa.
Tatamkumbuka sana jpm hata alivio mfukuza CAG baada ya kubaini wizi kwenye serikali yake wa sh tirioni 1,5Kuna maamuzi yanapelekea tumkumbuke JPM... ni pamoja na jambo hili ambalo serikali ya ccm inataka kulifanya.....
Unawezaje kubinafsisha bandari?...[emoji848][emoji848]
Wao waarabu wa Dubai hawakuwaona ?Sikulenga kitu nimeweka bayana kuwa wewe ni mbaguzi na mdini na mko wengi tu. Hamkupiga kelele bandari ya zanzibar walivyopewa wafarnsa lakini mnaanaza kutaja asili za mawaziri na raisi kana kwamba wao sio watanzania na hawana madaraka ya kufanya maamuzi yanahusu Tanzania. Dont get me wrong issue yote ya bandari inanuka uvunda lakini tatizo langu juu yako ni kuanza kulet mambo ya ukabila na udini. tuko mwaka 2023 na Tanzania bado kuna watu kama wewe ambao hamuoni watanzania wenzenu kama ni watanzania bila kujadili imani zao au wana asili ya pande gani wa tanzania.
Umetukumbusha LOLIONDO; ni nani anayejua kiasi cha faida ilichowahi kuliingizia taifa hili miaka yote hiyo?Mapato yatakayotokana na bandari za Tanganyika ni ya muungano na Zanzibar inapata mgao wake achilia mbali mgao wa 4.5% BoT kwa pato linalotokana na rasilimali za Bara.
Sasa hivi Zanzibar wanampango wa kulipa wajumbe wa nyumba kumi mishahara. Tayari wazee wanalipwa pensheni na waliobaki wanatumia umeme bure. Hapo hawajui gharama za ulinzi , mambo ya ndani na nje au taasisi zingine za muungano.
Huyu Mbarawa anakuwaje waziri wa jambo lisilo la muungano? Sasa Rais wa JMT ni Mzanzibar, Rais wa SMZ ni Mzanzibar na Waziri ni Mzanzibar. Nani anamtetea Mtanganyika kwa usawa huo.
Uuzwaji wa bandari hauna uchungu isipokuwa kwa Watanganyika.
Nyerere, Mkapa, Kikwete , JPM walijua hilo hawakuwahi kufikiria. Walijua ni rasilimali na hazina za Watanganyika
Mwinyi aliuza Loliondo ''ujombani'' akiwa na Waziri Diria. Historia bwana!
JokaKuu Pascal Mayalla
Muda mrefuKwani .kataba ulisha anza kufanya kazi?