Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Na ile Kamati imeita watu Dodoma Leo kutowa maoni gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KAZI nzuri ya CCM. Imesikia kilio hiki. Tozo sio tatizo lakini shida Ilikuwa ni kiwango Cha tozo. Hakuna nchi duniani inaweza kuhudumia watu wake bila kulipa Kodi na tozo zinazostahili. Hata kama ni chadema(japo waameishiwa hoja) wakibahatika kupata serikali labda kuanzia miaka ya 2150 watatoza tozo.
Nimpongeze sana bwana nchemba Kwa kusikia kilio hiki na maelekezo ya CCM.
Majizi tu hayaNa ile Kamati imeita watu Dodoma Leo kutowa maoni gani?
JF ni mshindi kwenye hili.. Pongezi kwa wote waliotoa michango yenye tija na kupaza sauti zao bila kuchoka
Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi.
Mabadiliko yafuatayo yamefikiwa-
Kufuta tozo ya kuhamisha pesa kutoka benki kwenda mitandao ya simu kwa pande zote. Kufuta tozo ya kuhamisha pesa ndani ya benki moja na kutoka benki moja kwenda benki nyingine Kutowahusisha wafanya biashara wadogo Kupunguza gharama ya miamala kwa asilimia 10-50 kutokana na makundi ya miamala
Marekebiosho haya yataanza kufanya kazi Octoba 1, 2022. Aidha, kodi ya pango inapaswa kulipwa na mmiliki wa nyumba na siyo mpangaji.
Kwa kuwa pesa hizi zitaipunguzia mapato serikali, Waziri ameelekeza Serikali ianze kubana matumizi yake mfano kwenye vikao, mafunzo ya semina, warsha, kukagua miradi n.k
Wataalamu wa wizara ya fedha na mipango ndiyo wamefanya mapitio haya wakiwa ofisini kwa kuwa ni sehemu ya majukumu yao. Taarifa za kuwa kuna tume iliundwa kutoka nje ya wizara ni uzushi.
Ccm inatawala maiti, ndio maana wanaweza kufanya lolote bila kufikiri halafu ndio wanafikiri baadaye.Nani aliwashauri kuziweka hizo tozo na viwango vyake mara ya kwanza kabla ya kusikia kilio hiki?
Bila kusahau na kukamilisha lile la katiba mpya🤔JF inastahili pongezi kwenye hili.. Huu ni ushindi wa mwanzo tuu tuje sasa kwenye tozo za miamala ya simu
PHD ya hovyo kuwahi kutokea dunianiAjuizulu tu. Bogus kabisa.
Mpaka ameitwa "panya office" ndiyo akili imemrudia na kuziona tozo zake zina maumivu makali sana kwa wananchi.
Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi.
Marekebisho yafuatayo yamefikiwa-
Kufuta tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki kwenda mitandao ya simu kwa pande zote. Kufuta tozo ya kuhamisha fedha ndani ya benki moja na kutoka benki moja kwenda benki nyingine. Kutowahusisha wafanya biashara wadogo (merchants) kama ilivyokuwa kweye kanuni ya sasa. Kusamehe tozo ya miamala kwenye utoaji wa fedha taslimu kupitia wakala wa benki yaani ATM kwenye miamala yenye thamani ya chini ya tsh 30,000/= Kupunguza gharama ya miamala kwa asilimia 10-50 kutokana na makundi ya miamala
Marekebiosho haya yataanza kufanya kazi Octoba 1, 2022. Aidha Serikali itafuta kodi ya zuio ya pango itapaswa kulipwa na mmiliki wa nyumba na siyo mpangaji.
Kwa kuwa pesa hizi zitaipunguzia mapato serikali, Waziri ameelekeza Serikali ianze kubana matumizi yake mfano kwenye vikao, mafunzo ya semina, warsha, kukagua miradi n.k
Wataalamu wa wizara ya fedha na mipango ndiyo wamefanya mapitio haya wakiwa ofisini kwa kuwa ni sehemu ya majukumu yao. Taarifa za kuwa kuna tume iliundwa kutoka nje ya wizara ni uzushi.
Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi.
Marekebisho yafuatayo yamefikiwa-
Kufuta tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki kwenda mitandao ya simu kwa pande zote. Kufuta tozo ya kuhamisha fedha ndani ya benki moja na kutoka benki moja kwenda benki nyingine. Kutowahusisha wafanya biashara wadogo (merchants) kama ilivyokuwa kweye kanuni ya sasa. Kusamehe tozo ya miamala kwenye utoaji wa fedha taslimu kupitia wakala wa benki yaani ATM kwenye miamala yenye thamani ya chini ya tsh 30,000/= Kupunguza gharama ya miamala kwa asilimia 10-50 kutokana na makundi ya miamala
Marekebiosho haya yataanza kufanya kazi Octoba 1, 2022. Aidha Serikali itafuta kodi ya zuio ya pango itapaswa kulipwa na mmiliki wa nyumba na siyo mpangaji.
Kwa kuwa pesa hizi zitaipunguzia mapato serikali, Waziri ameelekeza Serikali ianze kubana matumizi yake mfano kwenye vikao, mafunzo ya semina, warsha, kukagua miradi n.k
Wataalamu wa wizara ya fedha na mipango ndiyo wamefanya mapitio haya wakiwa ofisini kwa kuwa ni sehemu ya majukumu yao. Taarifa za kuwa kuna tume iliundwa kutoka nje ya wizara ni uzushi.
Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi.
Marekebisho yafuatayo yamefikiwa-
Kufuta tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki kwenda mitandao ya simu kwa pande zote. Kufuta tozo ya kuhamisha fedha ndani ya benki moja na kutoka benki moja kwenda benki nyingine. Kutowahusisha wafanya biashara wadogo (merchants) kama ilivyokuwa kweye kanuni ya sasa. Kusamehe tozo ya miamala kwenye utoaji wa fedha taslimu kupitia wakala wa benki yaani ATM kwenye miamala yenye thamani ya chini ya tsh 30,000/= Kupunguza gharama ya miamala kwa asilimia 10-50 kutokana na makundi ya miamala
Marekebiosho haya yataanza kufanya kazi Octoba 1, 2022. Aidha Serikali itafuta kodi ya zuio ya pango, hivyo kwa itapaswa kulipwa na mmiliki wa nyumba na siyo mpangaji.
Kwa kuwa pesa hizi zitaipunguzia mapato serikali, Waziri ameelekeza Serikali ianze kubana matumizi yake mfano kwenye vikao, mafunzo ya semina, warsha, kukagua miradi n.k
Wataalamu wa wizara ya fedha na mipango ndiyo wamefanya mapitio haya wakiwa ofisini kwa kuwa ni sehemu ya majukumu yao. Taarifa za kuwa kuna tume iliundwa kutoka nje ya wizara ni uzushi.
Sasa wale waliohamia Burundi kwa maelekezo ya Waziri itakuwaje ?
Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi.
Marekebisho yafuatayo yamefikiwa-
Kufuta tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki kwenda mitandao ya simu kwa pande zote. Kufuta tozo ya kuhamisha fedha ndani ya benki moja na kutoka benki moja kwenda benki nyingine. Kutowahusisha wafanya biashara wadogo (merchants) kama ilivyokuwa kweye kanuni ya sasa. Kusamehe tozo ya miamala kwenye utoaji wa fedha taslimu kupitia wakala wa benki yaani ATM kwenye miamala yenye thamani ya chini ya tsh 30,000/= Kupunguza gharama ya miamala kwa asilimia 10-50 kutokana na makundi ya miamala
Marekebiosho haya yataanza kufanya kazi Octoba 1, 2022. Aidha Serikali itafuta kodi ya zuio ya pango, hivyo kwa sasa itapaswa kulipwa na mmiliki wa nyumba na siyo mpangaji.