Ha ha ha! tena watatucharaza sana kwa risasi. Za Alex Korosso ni cha mtoto!!!!Kuandamana watatupiga risasi tuwe wapole tu huku tukilalamika labda watasikia kilio chetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha! tena watatucharaza sana kwa risasi. Za Alex Korosso ni cha mtoto!!!!Kuandamana watatupiga risasi tuwe wapole tu huku tukilalamika labda watasikia kilio chetu
Hata mi nashangaa, eti Kuna watu wanasema baadhi ya mawaziri wanataka kimwingiza Chaka mama kwani yeye hakuipitia budget yake?Hili suala lilizungumzwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri, na yeye Samia akiwa kama Mwenyekiti wa baraza.. Waliyajadili, wakakubaliana na ndo maana likapelekwa bungeni kama muswaada...
Cc jingalao,huyu jamaa Huwa simuelewagi Mana analipenda Sana CCM kuliko Wananchi wakeNa si ajabu kama zitafanyiwa marekebisho kidogo, wale UVCCM, waliokuwa wamepongeza tozo hizo, watajitokeza tena kumpongeza Rais!!kuwa ni msikivu!!hii mijitu huwa hata siielewi, ina simamia wapi?bali ni kufuata upepo tu!!tatizo wameshatuona wananchi mabwege tu, yaani tatizo wanalitengeneza wao, huko wanalileta kwetu kwa makusudi , tukilalamika wanasema ngoja tukaliangalie upya, wanakuja na ufumbuzi watu tunaanza kushukuru tena, na kuwaona wanatupenda!!
Lazima usome chochote ambacho kinahusu kuweka sahihiKwahiyo unatarajia Rais awe anasoma miswada inayotoka bungeni?! Like serious?! Na pia unatarajia Rais awe anasoma mikataba?! Hivi una habari mikataba inakuwa na lugha za kisheria huku rais anaweza kutoka kwenye taaluma yoyote ile including Sayansi Kimu? Rais asome mikataba wakati Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Timu yake wanafanya kazi gani? Rais asome miswada inayotoka bungeni wakati wasaidizi wake kama Chief Secretary anafanya kazi ipi?...
Really?Mkumbo upi na vitu viko wazi tu,wewe ni mjinga mmoja unayejua kuandika tu.Hao unaowatetea wangefanya tu utafiti wa watu hata mia tu wangeona reaction ya wananchi ikoje.Huwezi kutunga sheria ya kipumbavu kama hiyo halafu utegemee wananchi wareact positive!..
Sijui labda wananchi wa huko unapokaa wewe.Stupid.
Kweli kabisa tubane matumiziYaani hawa wanasiasa wanatuchezea sana. Suala ni simpo. Tupunguze sana kutumia simu za mkononi. Nadhani turudishe simu za line za ttcl. Kwani kule kuna tozo? Wakishituka tutatafuta mbadala. Ila na sisi tunazitumia sana hizo simu za mkononi. Kwani tusipozitumia itakuwaje? Mbona zamani hazikuwepo na maisha yaliendelea!!!! Tujifunze kutozitumia sana. Yaani tupungue matumizi.
CCM kunengua ni jadi yetu.Usishangae kuona wajinga fulani wakinengua na kukata viuno eti kuipongeza ccm. Kilangila.
Sheria zetu, bunge letu kuna ugumu gani kubadili?
Kama Sina kazi inayoweza kuniingizia hiyo shilingi 200 kwanini nisitembee kuufuata huo unga wa bei punguzoMwigulu nadhani anashindwa kuwaelewa watz ,sisi waTZ tunamaindi vitu vidogo sana ,tuko tayari kutembea kilomita moja kwenda kununua unga kilo 2 uliopunguzwa Tsh 100 na kuacha duka lililo mita 20 kutoka mlangoni mwake.
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba.
"Nitoe rai kwa wananchi kuwa Serikali imesikia malalamiko ya wananchi na tayari tumeendelea kuyafanyia kazi, Waziri Mkuu ameshaitisha kikao kesho kuendelea kupitia masuala haya haya."
"Kwa sababu hii ni sheria ya Bunge, na tayari imeshapitishwa na inatakiwa kutekelezwa, lakini kuna maeneo ambayo yanaangukia kwenye kanuni ambazo zinaangukia Wizara ya Fedha na Wizara ya Teknolojia ya Mawasiliano."
🤣🤣🤣