Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya
Yaani hapa hata kutokuwa na vision ya kwamba kilichofanyika ni upuuzi nalo ni kosa...,

Kwahiyo sina imani na watu ambao walikuwa hawana vision ya kusababisha haya kuleta utatuzi (nadhani itakuwa ni mule mule tu) Yaani badala ya maumivu makali maradufu.... ni maumivu ya makali..

Yaani Daktari aliyekosea akakufanyia Operation ya Ubongo badala ya Mguu unampelekea tena kichwa chako afanye marekebisho ? Mkutano huo ungejumuisha na wadau wote wahusika....
 
Naona mama anaendelea kuupiga mwingi
Tanzania ni moja ya kundi la jamii jinga zaidi duniani. Yaani Upumbavu Kama huu wa tozo na watu washaanza kukatwa unaita kuupiga mwingi? Ajabu sana
 
Kwanini tusiweke Hashtag MWIGULU MUST GO,
Huyo mbaba ni kichomi atatafuta mbinu nyingine tena ya kutuumiza hana huruma yule na uso wake mpana kama chapati za Wayahudi.

Mxiiie
 
Mpaka watakaporekebisha watakuwa wamekusanya pesa nyingi sana
Kama makusanyo yatakuwa makubwa hawataondoa, kkinachoonekana ni kwamba kutuma na kuweka hela kupitia mitandao ya simu itapungua Hadi kupunguza kodi waliyokuwa wanakusanya mwanzo
 
Kuna ubaya gani tukivunja hili Bunge juzi nilileta mada hapa kuwa Mbunge haelewi ni vipi walipitisha kodi hii Mods kwa roho mbaya zao wakiifuta sasa kiko wapi leo wanaitisha tena kikao kujadili. Bila kuwepo kwa opposition Bungeni msitegeme la maana kutoka kwa Babu Tale na Msukuma mle ndani. Ni aibu sana kaa taifa.
 
Mwigulu Muongo hakuna cha Mh Rais wala nini ,Miamala imeshuka kwa kiwango kikubwa sana na kuhofia kwamba hadi kodi waliyokuwa wanaipata itashuka......Tozo ni mihimu kwa maendeleo ila waliyoiweka ni kubwa sana ,hawaoni wenzao wa REA ukinunua umeme wa elfu 1 unakatwa Tsh 25 hata mtu haufeel..
Na watu tulishaanza kutafta kadi za bank hayo makato Yao yalikuwa wizi uliokubuhu aisee.
 
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Uchumi mmeufanya kuwa mgumu sana hakuna Cha Rais, makamu, waziri Mkuu na waziri wa fedha ,,, Uchumi gani wa kijinga namna hiyo unawezaje kupandisha kodi kwa asilimia 110?

Mwigulu acha kuyafanya maisha magum kwa lazima kila kinachopitishwa na bunge kiwe sheria Rais Ana mamlaka makubwa ya kukibadilisha, Punguza makato yafikie 20 asilimia. Mpesa ,Tigo, Airtel pesa, halo pesa, zinafungwa kwa speed ya AJABU Sana, Chonde Chonde punguzeni makato watu ndo ajira zao
 
Na si ajabu kama zitafanyiwa marekebisho kidogo, wale UVCCM, waliokuwa wamepongeza tozo hizo, watajitokeza tena kumpongeza Rais!!kuwa ni msikivu!!hii mijitu huwa hata siielewi, ina simamia wapi?bali ni kufuata upepo tu!!tatizo wameshatuona wananchi mabwege tu, yaani tatizo wanalitengeneza wao, huko wanalileta kwetu kwa makusudi , tukilalamika wanasema ngoja tukaliangalie upya, wanakuja na ufumbuzi watu tunaanza kushukuru tena, na kuwaona wanatupenda!!
Kuwajadili UVCCM ni kupoteza muda wako mkuu. Hao ni "certified sukules". Upepo unapovumia,wao ndio uelekeo wao.
 
Mwigulu nadhani anashindwa kuwaelewa watz ,sisi waTZ tunamaindi vitu vidogo sana ,tuko tayari kutembea kilomita moja kwenda kununua unga kilo 2 uliopunguzwa Tsh 100 na kuacha duka lililo mita 20 kutoka mlangoni mwake.
[emoji23][emoji23] very true mfano Mimi Niko Dar kuliko nikatwe 7000/8000 napanda daladala na kumpelekea huyo mtu cash hafu na save nyingine. Kwa hili mwigulu alichemka Bora wangeweka tozo kidogo hafu watu wengi wawe wanatuma
 
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...
"People's voice is God's voice". Sauti za katiba mpya je? Imekuwa: Mbele, nyuma, kulia, kushoto; tembeaaaa.
 
Acha tu mambo ya kwenye biashara inahitajika watu wabobezi kutoa ushauri wa kitaalamu maana effect yake huwa ni kubwa sana kama mtu akikurupuka ,kile walichokuwa wanakitarajia hawatokipata na kile walichokuwa wanakipata kitashuka...
Juice kama uji!!
 
Mh.Rais wetu ni msikivu sana.

Hakika tumeendelea kupata viongozi wazalendo.

Kwa hili mama anastahiki KONGOLE.👊👊👍👍

Hongera sana komredi Mwigulu Nchemba🙏
 
Back
Top Bottom