Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Conspiracy theories hizo....Tengeneza tatizo kisha litatue, utaitwa shujaa na wadanganyika.
Kwa muda mrefu nlikuwa natumia simu kufanya miamala ya fedha. Kwa ujambazi na uzandiki huu wa Mwigulu Nchemba nairudia ATM yangu. Eti Mwigulu anabwabwaja mate bungeni kuwa anawahurumia Watanzania!.Na watu tulishaanza kutafta kadi za bank hayo makato Yao yalikuwa wizi uliokubuhu aisee.
Mama ndiye raia no.1 kwa hiyo anayaona kwa upana wengine wasioyaona!Wtf
Hadi Mama aseme?
Mlikua hamuoni?
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Heggelian dialecticalTengeneza tatizo kisha litatue, utaitwa shujaa na wadanganyika.
Kwanini wasiwekeze kwenye kutatua yanayotukabili toka tupate Uhuru?Tengeneza tatizo kisha ulitatue.
kwaiyo lisu angekuwa rais ungesemaje??!!hahahaNilisema haijawahi kutokea waziri wa Fedha kutokea mkoa wa singida tangu nchi ipate uhuru. Sasa yameonekana. Jiuzulu babu
Mkuu Dr.Mwigulu hakuununua usomi wake.....mbona CREDENTIALS zake ziko wazi kaka?Kwa muda mrefu nlikuwa natumia simu kufanya miamala ya fedha. Kwa ujambazi na uzandiki huu wa Mwigulu Nchemba nairudia ATM yangu. Eti Mwigulu anabwabwaja mate bungeni kuwa anawahurumia Watanzania!...
🤣🤣Kajisahau huyo....kwaiyo lisu angekuwa rais ungesemaje??!!hahaha
Mkuu mh.Rais ameanza vyema kutuondolea ile 6%!!!Sawa ni jambo jema ,kilichobaki Value retention fee ya loan board pamoja na penalty viondoshwe kabisa bila masharti
Wana hiyo akili sasa?Kwanini wasiwekeze kwenye kutatua yanayotukabili toka tupate Uhuru?
Mkuu Wangekosa akili hii nchi ingekuwa Kama Somalia ama DRC...Wana hiyo akili sasa?
More philosophical and literally critical.Mkuu Dr.Mwigulu hakuununua usomi wake.....mbona CREDENTIALS zake ziko wazi kaka?!!!
Naelewa machungu uliyonayo mkuu...KUBWA ni kuwa TOZO hiyo kubwa imepeperushwa na kipenzi chetu mh.Rais SSH!
Tuendelee kumuamini mh.Rais ili azidi kusimamia kiapo chake kwetu!!
Kwani mh.Rais hana mamlaka ya kupendekeza marekebisho ?!!Yaani alie leta bajeti mbovu ndie huyo huyo anasema anaenda kwenye kikao na Waziri mkuu?? Au kuna mwingine?
Nchi inalindwa na watanzania wenyewe... Wanasiasa kazi yao ni kutengeneza mazingira ya ulajiMkuu Wangekosa akili hii nchi ingekuwa Kama Somalia ama DRC...
Labda mbinguni ,duniani hakuna nchi isiyo na WANASIASA....Nchi inalindwa na watanzania wenyewe... Wanasiasa kazi yao ni kutengeneza mazingira ya ulaji
Je, hili ni tatizo la waziri au tatizo la upngozi tinajua hatujui 🥶👀Nilisema haijawahi kutokea waziri wa Fedha kutokea mkoa wa singida tangu nchi ipate uhuru. Sasa yameonekana. Jiuzulu babu