Mimi tangu wapandishe ya kutuma na kutuma sijihangaishi kabisa kumbe naweza kuishi bila kutuma na kutoa na ilibidi acha niende tu ATM hamna namna.Kwa muda mrefu nlikuwa natumia simu kufanya miamala ya fedha. Kwa ujambazi na uzandiki huu wa Mwigulu Nchemba nairudia ATM yangu. Eti Mwigulu anabwabwaja mate bungeni kuwa anawahurumia Watanzania!...
Mwigulu utafukuzwa sio muda mrefu umejitia kitanzi.Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Ndiyo maana watu wengi wanasema hata katiba mpya bila kukinukisha hawatasikia. Hawa watawala mpaka uwaonyeshe kuwa wananchi ndiyo wenye haki.FAILED STATE kwa hiyo tusingelalamika ingekuwaje?
Kodi ni sawa tutaipa, ila shida ziko kwenye kanuni. Hili kweli ni swala la wizara husika. Ukiangalia kimsingi, makato ni makubwa mno.Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Namaanisha wanasiasa wa Tanzania. Ulishawahi fika mbinguni?Labda mbinguni ,duniani hakuna nchi isiyo na WANASIASA....
Mwigulu lazima aondolewe kwenye uwaziri, hawezi hiyo kazi, nasema atolewee 🤣🤣Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...
Exactly kama uji hivi hahahaaa!!Juice kama uji!!
Si rais ndo mtia sahihi ili itumike.sasa yeye kama ameona umuhimu wa kufanya mabadiliko wabunge wasisite kumuunga mkono.Kwa sababu hii ni sheria ya Bunge, na tayari imeshapitishwa na inatakiwa kutekelezwa,
Hiyo ni risk kubwa watu wangechachama zaidi na umarufu wake kushuka zaidimama, ukisikia kushindwa ndiyo huku hii mbaya sana ni bora ungekomaa nayo tu kwanza hayo malalamiko!
Kazi yao kubwa ndio hiyo,yaani kwa hiyo tozo masikini watazidi kuwa masikini waliotopea,na wale wajasiliamali wadogo wadogo lazima wapotee kabisaKama kawaida ya CCM
Tengeneza tatizo, litatue, uonekane shujaa
Yaani kina Zungu waunge mkono raia kupata afueni ya maisha?hiyo haipoSi rais ndo mtia sahihi ili itumike.sasa yeye kama ameona umuhimu wa kufanya mabadiliko wabunge wasisite kumuunga mkono.
Watanzania ni wazuri kwa mgomo baridi, sasa walete polisi CCM walazimishe watu kutuma miamala.Mwigulu nadhani anashindwa kuwaelewa watz ,sisi waTZ tunamaindi vitu vidogo sana ,tuko tayari kutembea kilomita moja kwenda kununua unga kilo 2 uliopunguzwa Tsh 100 na kuacha duka lililo mita 20 kutoka mlangoni mwake.
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...